watu wamezuiriwa kuingia mahakamani lema anarumbana nao anawauliza ni sheria ipi inayo zuia watu kuingia mahakamani kusikiliza kesi
God bless you man! endelea kutujuza.naona wameruhusu watu kuingia..
Je idadi ya watu ni ya kuridhisha?bado watu wamezuiriwe kuingia mahakamani..
watu wanazidi kuingia na waoga wametanda nje..