Hatimaye local channel kwenye Startimes ni bure kwa wote

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,654
8,553
Katika kuwasha kwangu Tv leo,nimeweza kuona local channel zote zikifanyakazi nikasema ngoja niende nyumba ya jirani napo nikakuta mambo mwake mwake,hakika sheria imezingatiwa maana niliapa kutokununua kifurushi cha local channe mpaka nakufa
 
Ngoja ninunue runinga yao Ile digital ili inifae chumbani maana haihitaji kingamuzi
 
try now to switch on your decoder and watch all local channels for free
 
Wasipoonyesha bure nani atalipia?. Wameharibiwa na ubia na TBC, ambao wamesahau na kuwa media ya chama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom