white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,314
- 13,279
kocha jose mourinho huenda akafungiwa mechi 12 kutokana na kitendo chake cha utovu wa nidhamu ktk ile mechi ya super cup dhidi ya barcelona,ili iwe fundisho na ndio chanzo cha wachezaji wake kukosa nidhamu.