Hatimaye kocho wa real madrid jose mourinho kufundishwa adabu

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Messages
3,735
Points
2,000

white wizard

JF-Expert Member
Joined May 18, 2011
3,735 2,000
kocha jose mourinho huenda akafungiwa mechi 12 kutokana na kitendo chake cha utovu wa nidhamu ktk ile mechi ya super cup dhidi ya barcelona,ili iwe fundisho na ndio chanzo cha wachezaji wake kukosa nidhamu.
 

saliel

Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
84
Points
95

saliel

Member
Joined Apr 11, 2011
84 95
ningependa afungiwe maisha ikiwezekana kwani hana adabu.
soka linahitaji nizamu ya hali ya juu kama kiwango chako kidogo kajipange ili ukikuze co kuleta fujo.
 

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
9,144
Points
2,000

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
9,144 2,000
you can either be a bank manager or a bank robber.....you make money either way, dont you?
uchaguzi ni wako......vyote viwili vinakupa pesa!

similarly kwa mourinho na football.
yeye anachojali ni kupata sifa ya ku-win trophies... he doesn't care how (which does not exclude hurting a few souls in the process).

mimi namlinganisha mourinho na bank robber! robbers should be kept where they belong.......in jail!
 

Forum statistics

Threads 1,355,628
Members 518,708
Posts 33,114,124
Top