Mimi pia nimeyapata hayo mitaani watu wanabadilisha maana halisi ya KKKT wakilinganisha na kikombe cha babu!Dah,we mdada nimekukubali kwa ubunifu.very creative
Under normal circumstance I have a high respect to Miss Judith,.... but with straight face i say this thread is CHILDISH!kufuatia hatua ya kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania kubariki huduma ya uponyaji inayoendelea kufanywa na mmoja wa wachungaji wake wastaafu mch. ambilikile mwasapile baada ya kuoteshwa na mungu huko loliondo. kanisa la kkkt limeamua kubadili jina lake na sasa litajulikana rasmi kama Kunywa Kikombe Kimoja Tu (KKKT)(haki zote zimehifabdiwa kwa Prof. kasambanda)
kufuatia hatua ya kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania kubariki huduma ya uponyaji inayoendelea kufanywa na mmoja wa wachungaji wake wastaafu mch. ambilikile mwasapile baada ya kuoteshwa na mungu huko loliondo. kanisa la kkkt limeamua kubadili jina lake na sasa litajulikana rasmi kama Kunywa Kikombe Kimoja Tu (KKKT)(haki zote zimehifabdiwa kwa Prof. kasambanda)

Under normal circumstance I have a high respect to Miss Judith,.... but with straight face i say this thread is CHILDISH!