Kiganyi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 1,242 Reaction score 765 May 18, 2012 #21 Tunakuombea Mkuu, Ila hpefully unaendelea vema kwani nimeona ukitupia maneno katika wall yako! God will never let you down!
Tunakuombea Mkuu, Ila hpefully unaendelea vema kwani nimeona ukitupia maneno katika wall yako! God will never let you down!
Ndachuwa JF-Expert Member Joined Mar 8, 2006 Posts 6,268 Reaction score 4,586 May 18, 2012 #22 Saint Ivuga said: ivi kwa nini tunasomesha madaktari? bora tusomeshe manesi tu basi Click to expand... Alternative nyingine kama sehemu ya kuhamisha ujuzi, serikali iingine mkataba wa kubadilishana wataalamu wa tiba (EXCHANGE PROGRAMME) na India
Saint Ivuga said: ivi kwa nini tunasomesha madaktari? bora tusomeshe manesi tu basi Click to expand... Alternative nyingine kama sehemu ya kuhamisha ujuzi, serikali iingine mkataba wa kubadilishana wataalamu wa tiba (EXCHANGE PROGRAMME) na India