Hii ndio inaonyesha rangi zao halisi, halafu kutwa lawama wanazipeleka kwa chadema, kwamba ndio chanzo, uzuri waswahili wanasema njia ya muongo ni fupi sana au za mwizi ni arobaini.
Na amejoin the team kama wenzake, tatizo huwa wanapiga kelele ili nao wawe wanufaika wakiachwa kidogo, wanakuja na thread za kushambulia serikali na kukufanya wqnai suppport chadema.