Hatimaye imejulikana: Dereva wa Lissu yuko Ubelgiji, akahojiwe

Mbunge Tundu A.M.Lissu amesema kuwa dereva wake waliyekuwa wrote siku ya shambulio dhidi yake Septemba 7 mwaka 2017 huko nchini Ubelgiji.

Lissu ameyasema hayo jana alipokuwa akihojiwa na Mwandishi Mwamoyo Hamza wa Sauti ya Amerika almaarufu VoA. Studioni alikuwepo pia Balozi wa Tanzania nchini Marekani Ndugu Wilson Masilingi.

Kauli ya Lissu juu ya alipo dereva wake inamaliza fununu na ramli kuhusu alipo dereva huyo. Kwakuwa imeshajulikana alipo,ni muda muafaka kwa wahusika kusuka utaratibu wa kwenda kumhoji dereva Hugo na Lissu mwenyewe atakayekuwapo Ubelgiji tarehe 20 mwezi huu.
Do they have a jurisdiction to interview him in foreign land?
 
Mbunge Tundu A.M.Lissu amesema kuwa dereva wake waliyekuwa wrote siku ya shambulio dhidi yake Septemba 7 mwaka 2017 huko nchini Ubelgiji.

Lissu ameyasema hayo jana alipokuwa akihojiwa na Mwandishi Mwamoyo Hamza wa Sauti ya Amerika almaarufu VoA. Studioni alikuwepo pia Balozi wa Tanzania nchini Marekani Ndugu Wilson Masilingi.

Kauli ya Lissu juu ya alipo dereva wake inamaliza fununu na ramli kuhusu alipo dereva huyo. Kwakuwa imeshajulikana alipo,ni muda muafaka kwa wahusika kusuka utaratibu wa kwenda kumhoji dereva Hugo na Lissu mwenyewe atakayekuwapo Ubelgiji tarehe 20 mwezi huu.
Acha kiherehere ww,waambie waanze kuwahoji wenye nyumba zilizotolewa CCTV cameras pale aliposhutiwa lisu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge Tundu A.M.Lissu amesema kuwa dereva wake waliyekuwa wrote siku ya shambulio dhidi yake Septemba 7 mwaka 2017 huko nchini Ubelgiji.

Lissu ameyasema hayo jana alipokuwa akihojiwa na Mwandishi Mwamoyo Hamza wa Sauti ya Amerika almaarufu VoA. Studioni alikuwepo pia Balozi wa Tanzania nchini Marekani Ndugu Wilson Masilingi.

Kauli ya Lissu juu ya alipo dereva wake inamaliza fununu na ramli kuhusu alipo dereva huyo. Kwakuwa imeshajulikana alipo,ni muda muafaka kwa wahusika kusuka utaratibu wa kwenda kumhoji dereva Hugo na Lissu mwenyewe atakayekuwapo Ubelgiji tarehe 20 mwezi huu.

Dereva wa Lissu kwasasa tayari protected na hii kitu " EU Migration and Asylum" Article 18 - Right to asylum
 
ext
 
Meta mada unaandika ujinga na Lisu wako Kwa mini polisi watumie raslimali za nchi na pesa za walipa Kodi kumfuata ubelgiji Kwa mini huyo dereva na Lusu wake wasije Tanzania kutoa ushahidi? Hizo pesa Lisu azozurura nazo si zinatosha naulizia ya kumleta yeye na dereva wake kuja kutoa ushahidi Tanzania? Wao sio wahalifu kwenye hiyo kesi ya Lisu kupigwa risasi ni mashahidi wangekuwa wahalifu hapo polisi ingekuwa sawa kutumia mipesa ya nchi kwenda huko ulaya au kutumia ma interpol nk kuwadaka na kuwaleta nchini Kwa nguvu Kwa gharama za walipa Kodi.Wao ndio waje Tanzania sio polisi wa Tanzania waende.Polisi walishatoa taarifa mapema wakimtaka dereva aripoti polisi hakufanya hiyo Afanye hivyo aripoti polisi Tanzania
Eti hivi unafikiria dereva yeye anajiona ni mtuhumiwa? Acheni kujitoa ufahamu, acheni kujifanya sio watu wa uzao wa makalioni
 
Yes if they will follow the procedure BUT He has right 1.To go with lawyer 2.Not to answer them.3.To record the interview
Driver is not a foreigner he is a Tanzanian not a Kenyan or Belgian police can not go to Belgium
 
Dereva wa Lissu kwasasa tayari protected na hii kitu " EU Migration and Asylum" Article 18 - Right to asylum
Akae na ukimbizi wake kazi ya polisi si kuwafuata wakimbizi hiyo ni kazi ya shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi
 
Huyo dereva alimshangaza hata mwendesha kipindi cha straight Africa talk Lisu alipikuwa akieleza idadi ya risasi alizopigwa.Akamuliiza mara mbili dereva wako viipi alipigwa risasi ngapi katika hizo risasi 30 akajibu hata Moja hakupigwa!! Muongoza kipindi akaonyesha mshangao wenye maswali mengi.Dereva aliyemwendesha munge wa chadema chacha wangwe aliyekuwa mpinzani MIUI ndani ya chadema huyo dereva akamsababishia ajali na kifo alitorokea Kenya akawa anakaa Mombasa na baadaye akatokomea kusikojulikana.Huyo dereva wa Lisu badala ya Tukio viongozi.wa chadema akina Mbowe walimtoroshea Kenya baadaye ubelgiji.Nasema akina Mbowe ndio waliomtoroshea Kenya na ubelgiji sababu Lisu alikuwa hajitambui na hajiwezi wao ndio walisuka hiyo misheni ya kumtorosha dereva.Huyo dereva ni ushahidi muhimu pamoja na Tundu mwenyewe ni mashahidi muhimu
Unapenda sana kujitoa fahamu.

Kwanini mliondoa cctv na ulinzi haukuwepo siku ya tukio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto WA narsery anauelewa kuliko we we.
Yamepigana risasi yenyewe kwa yenyewe hiyo michadrama mcharuko walahi
Lakini lissumsaliti anailaumu Serikali ili apate pesa za mashoga wa ngo za ugaibuni walahi
Lissumsaliti anajua aliye mpiga risasi ni mijitu yake yenyewe na anajua akisema ukweli hawezi pata pesa za mashoga walahi
Hilo li tundulissu ni mlaaniwa wa milele walahi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwe na papara ndugu.

Utaomba poo muda si mkubwa.
Its taking too long

Hii inaipa nguvu conspirancy ya kuwa anafichwa.

1) Anaweza kuwa anafichwa ili asifichue kuwa tukio lilipangwa na CDM wenyewe for political reasons

2)Anaweza kuwa anafichwa ili asije nunuliwa na maadui wa Lissu ili asije tumika against yeye.

But huwez sema anatibiwa, anatibiwa nini,muda wote? Semeni anafichwa kwa nin?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom