Hatimaye imejulikana: Dereva wa Lissu yuko Ubelgiji, akahojiwe

Alaf kibayazaidi balozi hajui hata national simbal na Lisu akampa darasa kidogo
Akimwambia kwamba serikali sio taifa, rais sio taifa Bali wananchi ndio taifa
Ebu tujikumbushe composition of the national
1. Pesa
2. Mipaka
3. Wananchi
4. Nyimbo ya taifa
5. Bendera ya taifa
Ila serikali ni kikundi cha watu wachache kinacho ongoza taifa kwa msaada wa katiba na sheria zake akiwemo na rais pia.
Nimekumbuka 4m1 asee!! Wakati balozi wetu hivi vitu havijua akabaki mdomo wazi.
 
Mbunge Tundu A.M.Lissu amesema kuwa dereva wake waliyekuwa wrote siku ya shambulio dhidi yake Septemba 7 mwaka 2017 huko nchini Ubelgiji.

Lissu ameyasema hayo jana alipokuwa akihojiwa na Mwandishi Mwamoyo Hamza wa Sauti ya Amerika almaarufu VoA. Studioni alikuwepo pia Balozi wa Tanzania nchini Marekani Ndugu Wilson Masilingi.

Kauli ya Lissu juu ya alipo dereva wake inamaliza fununu na ramli kuhusu alipo dereva huyo. Kwakuwa imeshajulikana alipo,ni muda muafaka kwa wahusika kusuka utaratibu wa kwenda kumhoji dereva Hugo na Lissu mwenyewe atakayekuwapo Ubelgiji tarehe 20 mwezi huu.

Toka awali inafahamika dereva ndio alikuwa msaidizi wa karibu wa Mh katika lilimtokea na alijoin Nairobi siku nne baada ya tukio.
Hapo Nairobi palikuwa karibu kuliko hata Songea na upo utaratibu wa kuomba kibali kuchukua maelezo ya shahidi uikohuko katika nchi alipo.
Statement atakayotoa popote ni moja tu haibadiliki kwa kutegemea amehijiwa wapi unless kama kuna mazingira ya kuteswa na kulazimishwa
 
Hao wapuuzi walishindwa kwenda kumhoji akiwa Nairobi. Wataweza kwenda Belgium ?
 
Mbunge Tundu A.M.Lissu amesema kuwa dereva wake waliyekuwa wrote siku ya shambulio dhidi yake Septemba 7 mwaka 2017 huko nchini Ubelgiji.

Lissu ameyasema hayo jana alipokuwa akihojiwa na Mwandishi Mwamoyo Hamza wa Sauti ya Amerika almaarufu VoA. Studioni alikuwepo pia Balozi wa Tanzania nchini Marekani Ndugu Wilson Masilingi.

Kauli ya Lissu juu ya alipo dereva wake inamaliza fununu na ramli kuhusu alipo dereva huyo. Kwakuwa imeshajulikana alipo,ni muda muafaka kwa wahusika kusuka utaratibu wa kwenda kumhoji dereva Hugo na Lissu mwenyewe atakayekuwapo Ubelgiji tarehe 20 mwezi huu.
hakuna mtu aliyemficha dereva wanajua fika alikuwa Dodoma siku kibao hawakumhoji baadae akaenda NBI amekuwa huko muda mrefu na sasa yupo Ubelgiji.. hawakuona umuhimu wa kuwahojin hao wote, may be kwa sasa wanaweza kujipanga baada ya jambo hili kuibuka upya!!
 
Mbunge Tundu A.M.Lissu amesema kuwa dereva wake waliyekuwa wrote siku ya shambulio dhidi yake Septemba 7 mwaka 2017 huko nchini Ubelgiji.

Lissu ameyasema hayo jana alipokuwa akihojiwa na Mwandishi Mwamoyo Hamza wa Sauti ya Amerika almaarufu VoA. Studioni alikuwepo pia Balozi wa Tanzania nchini Marekani Ndugu Wilson Masilingi.

Kauli ya Lissu juu ya alipo dereva wake inamaliza fununu na ramli kuhusu alipo dereva huyo. Kwakuwa imeshajulikana alipo,ni muda muafaka kwa wahusika kusuka utaratibu wa kwenda kumhoji dereva Hugo na Lissu mwenyewe atakayekuwapo Ubelgiji tarehe 20 mwezi huu.
Afuatwe au aje mwenyewe atoe ushahidi pia awatambue waharifu si alisema amewaona? Kwanini wanamkimbiza huko wanaogopa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha,nenda kamjeruhi wewe basi mkuu, sometimes uwe una reason mambo ya kimsingi mfano tu ajali za mabasi zinazotokea kuna watu huwa wanakufa, wengine hujeruhiwa na wengine wanatoka wakiwa Salama usalimini jiulize kama gari limepata ajali kwanini wale wote walio ndani ya lile gari hawakuaga dunia wote?ukifikiri hivyo ienda ukapata jibu ya kile ulichouliza
Nin? Mbona yeye hakujeruhiwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoa mada punguza njaa ..hakuna MTU hatakupa ujaji
Hajasema anataka ujaji,kazi aliyonayo inamtosha.
Namfahamu vizuri sana Petro,ni msikivu,mwelevu,asiye na papara,hasira wala woga.
Tulipokuwa chuo alikuwa ni msaada kwa wanafunzi wenzake kuwaelekeza pale waliposhindwa/kupeana ufafanuzi.
Kama ni issue ya Ujaji,Inshaharh IPO siku atapata kwani anajituma ipasavyo.
 
We we unajuaje kama hawajahojiwa? Upelelezi ukiwa unaendelea sio Kila kitu wanawaambia waandishi wa habari.iwe kuhusu walinzi,makamera nk ulitaka wawe wanaripoti kwako?
watuoneshe picha cctv kama walivyofanya baada ya kutekwa MO
 
Yaani taabu kweli.Kwa tukio la kupigwa risasi lissu kuna nyanja pana mno kupata ushahidi na si lissu tu na dereva ,na kama.polisi ina shindwa kwann haikubali kuitwe wachunguzi wa nje kupata ushahidi?maana ushahidi wa watu wawili tu bado kesi itakuwa ina mapungufu mbona hawataki kutafuta ushahidi wa cctv?
Mbunge Tundu A.M.Lissu amesema kuwa dereva wake waliyekuwa wrote siku ya shambulio dhidi yake Septemba 7 mwaka 2017 huko nchini Ubelgiji.

Lissu ameyasema hayo jana alipokuwa akihojiwa na Mwandishi Mwamoyo Hamza wa Sauti ya Amerika almaarufu VoA. Studioni alikuwepo pia Balozi wa Tanzania nchini Marekani Ndugu Wilson Masilingi.

Kauli ya Lissu juu ya alipo dereva wake inamaliza fununu na ramli kuhusu alipo dereva huyo. Kwakuwa imeshajulikana alipo,ni muda muafaka kwa wahusika kusuka utaratibu wa kwenda kumhoji dereva Hugo na Lissu mwenyewe atakayekuwapo Ubelgiji tarehe 20 mwezi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio sababu ya kutokuwa na upelelezi...wajinga wanaowaza hv ndio wanachafua taifa.
Jeshi la polisi wanajua kilichotokea, Mwigulu pia alijua, afande Mroto alijua, Siro n.k,.. Punguzeni ujinga futuhi yenu inajulikana.
 
Hajasema anataka ujaji,kazi aliyonayo inamtosha.
Namfahamu vizuri sana Petro,ni msikivu,mwelevu,asiye na papara,hasira wala woga.
Tulipokuwa chuo alikuwa ni msaada kwa wanafunzi wenzake kuwaelekeza pale waliposhindwa/kupeana ufafanuzi.
Kama ni issue ya Ujaji,Inshaharh IPO siku atapata kwani anajituma ipasavyo.

Mkuu,umenikumbusha mbali na kunigusa sana. Jua kuwa humu watu hutafsiri na kumzungumzia MTU pasipo kumfahamu vyema. Mungu akubariki sana. Tulikuwa darasa moja?
 
Back
Top Bottom