Hatimaye huku tuliko mwezi umeandama

Hatimaye huku tuliko mwezi umeandama

Sijui Muisilamu mwenzangu uko inchi gani tuungani kufunga kwa matendo mema maana hii ni neehema hatujui kama mwaka kesho tutapata fursa ya kufunga kiafya na kiuzima
Kama tulivyo waTanzania wote, mfungo wenu usiishie kwenu pekee; likumbukeni taifa letu na waTanzania wote kwa umoja wetu ambao umeingia majaribuni sana nyakati hizi.

Uislam wenu hauwezi kuondoa uTanzania wenu, kama ilivyo na hao wengine na dini zao. Tanzania kwanza, dini baadae. Hata Mungu atalipenda sana hili.
 
Sijui Muisilamu mwenzangu uko inchi gani tuungani kufunga kwa matendo mema maana hii ni neehema hatujui kama mwaka kesho tutapata fursa ya kufunga kiafya na kiuzima
Uko nchi gani ustaadh?

Huku nyumbani mpaka mufti Al haj Dakta sheikh mkuu auone ndio atangaze. Hata mimi nikiuona bila Dakta kusema umeonekana siwezi kumshauri mchepuko aanze kufunga.
 
Back
Top Bottom