Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

kumbe katika chama cha siasa ukisema ukweli juu ya mkubwa wako huna chama. Kafulila kamkosoa mbatia kapata kibano naye Hamad Rashid kamkosoa maalim Seif kapata kibano. Watakaofuata ni LOWASA na ZITTO. Mchakato unaendelea wanajamvi.
 
kwa hali hii anafuatia zito wa cdm, halafu baada ya hapo anaweza kufuatia mzee six wa sisiemu, waje waungane, kafulila, hamad, zito, na six waunde chama chao, kitakuwa kizuri2, maana ni viherehere wa siasa halafu ngoma iwekwe kati tuone hy staili ya uchezaji wake.
 
... There is a serious Problem within CUF ..

AND

... the grand solution isn't doing what they hav done ...

... They have overlooked the really Problem and they are in for it ...wait and SEE !!!
The grand problem is muafaka. Maalim is taking a big cake at the expense of the party. Ordinary members are not benefiting. Wait and see!
 
Mambo ya Rostitamu hayo via jusa isimaili with a gud hand from maalimu seifu..
 
siasa za Tanzania ni za maji taka wanaoviongoza hivi vyama wanaviongoza kiudikteta tunahitaji awepo mgombea binafsi huu ushenzi hautakuwepo

sio majitaka mkuu! HR wakati yuko kambi Rasmi ya upinzanzani nikuwa namkubali sana huyu jamaa tatizo nililiona pale alipoanza kusema posho wanazozipata ni ndogo hazitoshelezi! NA BAADA ya chadema kuwa Chama kilichotakiwa kuunda KAMBI RASMI YA UPINZANI PALE BUNGENI nilikuja kuelewa pale gazeti la mwanahalisi walivyoonesha mchanganuo wa nafasi ya kiongozi interm of FINANCE aaah nikajua kwa nn HR anataka nae aundf kambi yake ndogo ya upinzani. Ingawa alikuwa sahihi kuhusu kupwaya kwa Maalif Seif tangu amekuwa makamu wa 1 ,HR ali2100 Wrong Approach na huo ubinafsi wake hayo ndio malipo yake. Ahamie JAHAZI ASILIA au DP .
 
Nadhani Kirusi cha Mwisho ndani ya upinzani kufukuzwa atakua She-Buda!!!!!
 
Mwaka 2010 HR alikosa nafasi kugombea ubunge pale jimboni kwake,wazee wa wawi walishamkataa zamani,lkn hao hao viongozi wajuu wa cuf ndio waliompa hyo nafasi,eti walisema HR amekichangia sana chama hvyo apewe tu ubunge kwa mara ya mwisho.Si unjua tena Pba hata umweke ng'ombe kugombea atashinda tu mradi amesimamishwa na CUF.
 
Duh. Sasa kufukuzwa ishakua fashion au kujitafutia umaarufu. Kwa vigezo vipi lakini anafukuzwa? Au kuna utaratibu wa cuf ambao siuelewi?
 
Back
Top Bottom