Hatimaye fedha kurudi mitaani

Hivi kukitokea financial meltdown kama iliyotokea ulaya mwaka 2008, ni nani atam'bale out' mwenzie? Nakumbuka srikal za ulaya na marekani ilibidi ziya'bale out' mabank. Sasa ikitokea hapa kwetu ambapo serikali ndio inakuwa bailed out sijui itakuwaje?
Serikali ilifilisi kwanza bank, sasa inataka mapemaa bank zii bail out.Sasa ivi serikali ndio ipo hoi,huku imedhoofisha mabenk.ingekuwa bank ningewaambia wateja wetu kwanza ndio wanakopeshwa kwa vile kiasi kilichopo ni kidogo na wateja ndio wenye haki kwanza.Serikali ifungue account na kuweka hela kwa miezi 6 account ikisoma vizuri ndipo waombe mkopo..
 
Na serikali ikishakopa benki za ndani nazo zitaongeza riba hali ndo itazidi kuwa tight
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…