Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

Dah,

Umenikumbusha miaka ya 1980s kuna Msukuma alitoka Mwanza huko hata Dar hajawahi kufika alikuwa anachujua ndege kwenda Copenhagen kucheza ngoma, alikuwa hana sehemu ya kufikia Dar akafikia kwetu.

Kwa hivyo naweza kujubali maneno yako.
Alikuwa anajua kiswahili kweli? Hawa ndugu wana dunia yao very amazing 😂 😂 😂 😂
 
Hatimaye Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya fedha, Bwana Dotto James ameonekana hadharani baada ya kupotea kwa kipindi kirefu.

Ameonekana huko Chato kwenye maadhimisho ya miaka 3 tangu kufariki kwa John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania.

Huyu hapa

View attachment 2937681View attachment 2937682
Lizee la kupenda
Huyu jamaa alikua anapenda nnya sio poa watu wa upinde kawala sana huyu
 
Dotto James ni mpwa wa marehemu Magufuli. Magufuli alimtoa TANROADS kama ofisa wa kwaida kwenye uhasibu. Akamsogeza Wizara ya fedha kuwa Naibu KM wakati wa Likwelile. Kisha akamtoa Likwelile na kumpa Dotto James u-Katibu Mkuu hazina. Katibu Mkuu Hazina ndiye Mlipaji Mkuu wa Serikali.

Bado wajinga wanadai Magufuli aliuwa mzalendo. Mzalendo gani umaeeka mtoto wa.dada yako kwenye kazi nyeti kama hiyo?? Wizi mtupu
Ulitaka amweke mama yako au?

Nyie wapuuzi ndio mkifanikiwa mnawasahau ndg zenu
 
Back
Top Bottom