Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,462
Bondia Francis Cheka kapigwa T.K.O ( technical knock out) huko ujeruman katika round ya 7
Baada ya kuuliza swali na kukosa jibu nimejitafutia mwenyewe... Sio hatimaye kapigwa huyu jamaa alishapigwa before na sio mara moja...
[TABLE="class: border, align: center"]
[TR]
[TH="class: title, colspan: 2"]Francis Cheka[/TH]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD]Global ID[/TD]
[TD]185091[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]sex[/TD]
[TD]male[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]birthdate[/TD]
[TD]1982-04-15 / age 30[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]manager/agent[/TD]
[TD]register
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]division[/TD]
[TD]super middleweight
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]rating[/TD]
[TD]
50 / 892
1 / 13
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]height[/TD]
[TD]5′ 10½″ / 179cm
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] country [/TD]
[TD] Tanzania
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]residence[/TD]
[TD]Morogoro, Tanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]birth place[/TD]
[TD]Dar-Es-Salaam, Tanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]birth name[/TD]
[TD]Francis Boniface Cheka[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"] won 27 (KO 15) + lost 7 (KO 4) + drawn 1 = 35
rounds boxed 229 KO% 42.86 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Source: Francis Cheka : Boxer
Aliwahi kupokea kipigo cha mbwa koko uk na Rashid Matumla ndio akawa muhudumu wake pale hospital uk alipokua amelazwa kutokana na kipigo hicho!Hivi huyu jamaa alikuwa hajawahi kupigwa ?, kuna mtu ana score card yake.. Wins Loses Draws na Knock Outs ?
Aliwahi kupokea kipigo cha mbwa koko uk na Rashid Matumla ndio akawa muhudumu wake pale hospital uk alipokua amelazwa kutokana na kipigo hicho!
kupigwa keshapgwa sana nadhan mtu wa mwisho kumpiga matumla rashid. Sema tokea hapo kakaa sana bila mpinzan ndio maana kupigwa kwake kumeshtua
Mara ya mwisho kupigwa...
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="class: left"][/TD]
[TD][/TD]
[TD]2008-09-06[/TD]
[TD]162¾[/TD]
[TD]Matthew Macklin[/TD]
[TD]163½[/TD]
[TD="class: c"]21-2-0[/TD]
[TD="align: right"][/TD]
[TD="class: w"][/TD]
[TD="class: l"][/TD]
[TD="class: w"][/TD]
[TD="class: w"][/TD]
[TD="class: w"][/TD]
[TD="class: w"][/TD]
[TD]M.E.N. Arena, Manchester, Lancashire, United Kingdom[/TD]
[TD="class: rl"]L[/TD]
[TD]PTS[/TD]
[TD="align: right"]10[/TD]
[TD="align: right"]10x3[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ila kwa bongo sahv hana mpinzan hata afrika mashariki nzima sidhani kama kuna boxer wa kumpiga
AnAelekea ni lokal boxer tu,mashindano mengi ya nje anachapwa
Eti 'hatimae apigwa' ulikuwa unaskilizia sana apigwe kuwa Mzalendo wa nchi yako nyie ndo huwa mnaandika ' Stars Kuhimili mikiki mikiki ya Cameroun?' Au 'Simba chovu yaenda Angola'
Kama Yanga ilivyo ...AnAelekea ni lokal boxer tu,mashindano mengi ya nje anachapwa
Kwani Malkia wa Nyuki(Simba) imefanywa nn na Libolo.......Kama Yanga ilivyo ...
Kama Yanga ilivyo ...
hahahaha yanga ukiwapandsha ndge ya kwnda nje tayari tunguli zinakua useless
Kama unafurahia vile!Bondia francis cheka kapigwa T.k.o ( technical knock out) huko ujeruman katika round ya 7