NGANU
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,919
- 393
Kama Yanga ilivyo ...
Vipi wazee wa LIBOLO ndo wamemtoa yanga.
Kama Yanga ilivyo ...
Baada ya kuchelewa kujibiwa mwenyewe nikaingia google na kupekunyua..., nimegundua keshapigwa mara saba.., cheki hapa kuna kila kitu kuhusu mechi zake zote alizowahi kucheza..
Francis Cheka : Boxer
Kama Yanga ilivyo ...
Yanga hakushiriki kabisa! Kuna tofauti kubwa kati ya aliyeenda shule akafeli na yule asiyeenda kabisa!Vipi wazee wa LIBOLO ndo wamemtoa yanga.
Mkuu, unakujua nje wewe? Nairobi, Kampala, Kigali na Bujumbura huwa tunaenda kwa kutumia kibali tu, nje ni kule unakotakiwa lazima uonyeshe passport!Mbona unapenda kuf.i.r.a maneno wewe? Tunamjadili Cheka unataja Yanga, kwa taarifa yako hiyo ndio timu pekee ya TZ iliyowai kuchukua kombe nje ya TZ tena mara 2.
lakini simba uzuri wao wana mke wao wakumshindilia tano na mpaka sasa hajajifungua bado anakaa mitaa ya twiga karibu karibu na jangwani.Ni kweli, Yanga ndivyo walivyo sio kama Simba walioshindiliwa vitano na LIBOLO.
Sasa hapa hatujaelezwa vizuri. Kona ya Cheka walikuwa akina nani? Bila shaka hao Wajerumani walikuwapo hapo, lakini ina maana hakuwapo hata mtu mmoja aliyeongozana naye?Cheka ahujumiwa Ujerumani
Hii ni mara ya nne bondia huyo kupoteza pambano nje ya nchi tangu ajiunge na ngumi za kulipwa mwaka 2000
Bondia Francis Cheka amepata pigo la mwaka kwenye pambano la ubingwa wa IBF Inter-continental nchini Ujerumani baada ya mtu mmoja kutoka katika kona yake kurusha taulo uwanjani (ikiwa ni ishara ya kusimamisha pambano) na kusababisha mwamuzi kumaliza mchezo hivyo Mjerumani Uensal Arik kupewa ubingwa.
Katika pambano hilo, Cheka alimkabili vilivyo mpinzani wake Arik hadi raundi ya saba zikiwa zimebakia sekunde 15, ndipo mmoja wa watu wa kona yake aliporusha taulo kuashiria kuomba mwamuzi asimamishe pambano ili kumnusuru bondia huyo.
Kitendo hicho kilimkasirisha Cheka na kuanza kugombana na watu wa kona yake kwa kuamua kumaliza pambano kwa namna hiyo.
Wakati mwamuzi anasimamisha pambano Cheka alikuwa akiongoza kwa pointi 57-56, 57-56 na 58-56 alizokusanya kwenye raundi sita za kwanza.
Cheka alitawala vizuri raundi mbili za kwanza na kufanikiwa kumwangusha chini Arik kwenye raundi ya tano, lakini Mjerumani huyo aliokolewa na kengele wakati mwamuzi akimhesabia.
Arik aliamka mwanzoni mwa raundi ya sita, lakini mwishoni Cheka alibadilika na kutawala.
Raundi ya saba Arik aliingia kama kichaa, lakini Cheka alikuwa makini kumkabili ghafla taulo likarushwa ulingoni zikiwa zimebaki sekunde 15 na kuharibu pambano hilo.
*****
Hii habari imeripotiwa namna hii na gazeti la mwananchi leo jumapili...
Aliwahi kupokea kipigo cha mbwa koko uk na Rashid Matumla ndio akawa muhudumu wake pale hospital uk alipokua amelazwa kutokana na kipigo hicho!
lakini simba uzuri wao wana mke wao wakumshindilia tano na mpaka sasa hajajifungua bado anakaa mitaa ya twiga karibu karibu na jangwani.
Kama Yanga ilivyo ...
Akili zikikaa kwenye kinena ndio shida yenu. Sasa kati ya Mrs Libolo na Yanga, ni timu ipi imewahi kwenda nje na kuleta NDOO nyumbani? We jibu tu kwa akili zako za kuazima....nyau we!
Au kufanywafanywa na Libolo na Enyimba ndio ubingwa kwenu?
Simba ni Mrs Libolo, Yanga ni Mrs ....Akili zikikaa kwenye kinena ndio shida yenu. Sasa kati ya Mrs Libolo na Yanga, ni timu ipi imewahi kwenda nje na kuleta NDOO nyumbani? We jibu tu kwa akili zako za kuazima....nyau we!
Au kufanywafanywa na Libolo na Enyimba ndio ubingwa kwenu?
kama ni swala ni historia hata ya libolo ni historia sasa shughuli tamu ni ile mtu aliyekuchochea mwenyewe na simba anamchochaga yanga mabao mengi mengi tu,ila haitanizuia kuamini kwamba yanga ndie bingwa mara nyingi zaidi tanzania,na hapo hapo amemfunga simba mara nyingi zaidi.wakati huo huo yeye amechochewa magoli mengi na simba kwa mkupuo.unapoamua kuzungumzia jambo lililotokea uwe tayari kupokea na linalokuhusu pia.kama simba angefungwa na yanga tano mimi ningekuwa na huzuni zaidi lakini na libolo uchungu sio mkubwa sana kwani hata raja casablanca aliwahi kuifunga timu ya tanzania goli tano kipindi fulani.Mtaishia kukumbuka Historia za 5, Yanga yeye kubeba ndoo. Kaangalie kwenye tovuti ya TFF Yanga amebeba ndoo mara ngapi ndio utajua tukiwa hapa Tanzania mume ni nani
Baada ya kuchelewa kujibiwa mwenyewe nikaingia google na kupekunyua..., nimegundua keshapigwa mara saba.., cheki hapa kuna kila kitu kuhusu mechi zake zote alizowahi kucheza..
Francis Cheka : Boxer
Mkuu hesabu zimekupitia pembeni kidogo nini?when was it posted?? born 82 and 30yrs?? probably last year
acha hasira unatukana utafikiri umejambwa hujazaliwa kawaida.Akili zikikaa kwenye kinena ndio shida yenu. Sasa kati ya Mrs Libolo na Yanga, ni timu ipi imewahi kwenda nje na kuleta NDOO nyumbani? We jibu tu kwa akili zako za kuazima....nyau we!
Au kufanywafanywa na Libolo na Enyimba ndio ubingwa kwenu?