Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,828
- 284,994
Umeona ehhChadema finished
Unajua nitasema nini.Nachukua nafasi hii kuwamegea siri makamanda wote na wadau wa demokrasia kwamba " KAZI IMEKWISHA "
Hao ni mbuzi?
Mungu ibariki Chadema
Eee bwanae ofisi imebaki na mbuzi tuuu.
Kwa jinsi Magu alivyo li "terolise" taifa" upinzani msitarajie kitu. Mtapigwa wazi wazi na kunyang'anywa haki na halali zenu nyingi pasipo msaada. Rejea chaguzi ndogo zilizo pita.2020 utakua mwaka mzuri sana kuishi Tanzania. Tutaona na kusikia mengi.
I can't wait.
Kazi imekwisha lakini katika Kata zaidi ya 130 nchini zilizofanya Uchaguzi mdogo tangu 2016, mmeambulia Kata chini ya Tano, kweli?View attachment 997653
Hiki ni kijiji cha Kamsamba , Jimbo la Momba mkoani Songwe , Pichani wanaonekana viongozi wa Chadema John Mrema na Katibu wa Kanda Nene ya Nyasa Emmanuel Masonga wakipiga Selfie kwenye nyumba ya mkulima
Nachukua nafasi hii kuwamegea siri makamanda wote na wadau wa demokrasia kwamba " KAZI IMEKWISHA "
Huyo mwenye nyumba ya majani asahau kabisa kuwa na nyumba ya bati endapo CHADEMA ikishinda kwani Chama hakina akili ya kujenga Ofisi yao sasa wataweka mazingira gani ya mtu kujenga nyumba yake? Wataanza kujenga Ofisi zao Nchi nzima na kufumba na kufumbua miaka 5 inaisha hawajafanya chochote.Jiwe akiona hivyo lazima apaniki!!