Hatimaye CHADEMA watua Songea

Hatimaye CHADEMA watua Songea

policcm wasikamate gari la matangazo kama walivyofanya Mbulu,jamaa tumewabana kila kona
 
ni kweli ni uzinduzi wa kanda ya kusini kwani ilishindikana kufanyika mtwara na lindi kutokana na hali halisi ,hivyo atakuwepo mwenyekiti taifa
mbowe na wabunge na makamanda kadhaa hiyo kesho, leo dr.slaa yuko mererani , lema monduli,kesho marando, safari na wengine wapo bagamoyo , ali bananga leo yuko kwa mwigulu, mawazo yuko geita, yaani ni twanga kotekote.


asante mkuu kwa taarifa nzuri. Kweli haya maccm tunayapelekesha. Pia na sisi kwenye makazi yetu tuimarishe m4c
 
Niko Songea Mjini Eneo la Lizaboni Gari limepita muda sio mrefu. Kata ya Lizaboni inaongozwa na Kamanda wa CDM Mh. Allanus Mwanja Murongo. Kazi inaenda vema Magamba tumbo Joto.
 
Mchana huu gari la matangazo limekuwa likipita na kutangaza mkutano wa chadema hapo kesho.Kwa mujibu wa matangazo hayo ni kuwa wanakuja viongozi wa kitaifa.Sasa sijui kama wataenda huko vijijini nilikopendekeza kwenye bandiko langu hapa JF au la.Kesho nitakuwa eneo la tukio ambalo ni Matarawe japo nipo njiani kuelekea kijijini.Nikimaliza shughuli zangu huku basi nitawahi haraka mjini.

Nawasilisha

habari njema piga mkutano matarawe,lizaboni,mateka,matogoro,majengo,luhuwiko,bombambili itakuwa imetulia sana tunajua mbinu anazotumiaga nchimbi hata rafu alizo mchezea mzee mwaiki kwa kushirikia na jk.muda umefika wakukaya kufunguka
 
Niko Songea Mjini Eneo la Lizaboni Gari limepita muda sio mrefu. Kata ya Lizaboni inaongozwa na Kamanda wa CDM Mh. Allanus Mwanja Murongo. Kazi inaenda vema Magamba tumbo Joto.

asante kwa taarifa mkuu nakumbuka kijiwe cha mzee macha hapo lizaboni.ugendili gendili cdm kiboko
 
Wakuu nipo songea,makamanda wapo hapa,kesho tukijaliwa kuamka nitawaletea updates kutoka Matarawe songea.
 
Back
Top Bottom