Hatimaye CHADEMA watua Songea

Hatimaye CHADEMA watua Songea

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
1,959
Reaction score
876
Mchana huu gari la matangazo limekuwa likipita na kutangaza mkutano wa chadema hapo kesho.Kwa mujibu wa matangazo hayo ni kuwa wanakuja viongozi wa kitaifa.Sasa sijui kama wataenda huko vijijini nilikopendekeza kwenye bandiko langu hapa JF au la.Kesho nitakuwa eneo la tukio ambalo ni Matarawe japo nipo njiani kuelekea kijijini.Nikimaliza shughuli zangu huku basi nitawahi haraka mjini.

Nawasilisha
 
waende kuweka kambi kwa nchimbi na komba kwa kuwaelimisha wananchi elimu ya uraia ichukue nafasi
 
Nawakaribisha makamanda songea, ingawa niko safarini, wapeni wana ruvuma elimu ya uraia, maana maccm wametunyonya vya kutosha sana, ruvuma ndiko wabunge wa ccm wanakwenda kuchukua ubunge na si kugombea, wao hurubuni wananchi kwa kutumia rushwa, kama kanga, fedha, wali, nk. Wabunge wengi kama nchimbi, komba, kayombo, vita kawawa, kazi yao ni kuwarubuni tu wananchi! Chadema ikiwezekana waende mpaka mbinga, namtumbo wakawape elimu ya uraia wananchi! Ccm ni janga kwa taifa letu!
 
watafika tu mkuu usijali kwani chadema ni chama cha watu wote cha msingi maoni yako ni muhimu sana.
 
Chadema pigeni kambi kuelimisha watu. 2015 majimbo ya huko ni marahisi sana kuwa chini ya chadema
 
Ni kweli ni uzinduzi wa kanda ya kusini kwani ilishindikana kufanyika mtwara na Lindi kutokana na hali halisi ,hivyo atakuwepo Mwenyekiti Taifa
Mbowe na wabunge na makamanda kadhaa hiyo kesho, leo Dr.Slaa yuko Mererani , Lema Monduli,kesho Marando, Safari na wengine wapo Bagamoyo , Ali Bananga leo yuko Kwa Mwigulu, Mawazo yuko Geita, yaani ni twanga kotekote.
 
Ni raha tupu. Waache ccm waendelea na kutuliza ghasia za wanaodai haki nchi nzima. CDM endeleeni kutwanga kotekote mkiwafumbua macho wa Tanzania na uporaji wa raslimali zetu na ukandamizaji wa serikali ya ccm.
 
piga kambi siku kadhaa kama MTWARA ili watu wajitambue
 
Back
Top Bottom