Hatimaye Boss kaoa

Madam, why are you so interested in someone else's husband? Come and see me, darling, I've got it all: financial freedom, education, good looks! I'm 27 and I'm interested in your mailbox to get to know you.

Nb, I don't date prostitutes.
 
Move on baby girl, jitreat poa,nenda vacation,utamsahau polepole tu.
Sorry.
 
Hii inaitwa kuliwa na kuachwa kwa ahadi ya kuolewa, kitumbua kishaingia mchanga tayari, wateja ngumu kuwapata
 

Namna hii kweli hlf huyu Mwanaume akuoe kweli?
 
Pole inawezekana lipo jambo kubwa umeepushwa nalo.
Vumilia maumivu kwa sasa lakini utasahau na utaanza upya kwa furaha kubwa tu.
 
Wanaume hatuolei matako na minyanduano tu.
Kwenye kuoa tunachagua atakayekua mama bora kwa watoto na familia.
Wewe bila shaka kaona una sura na tako lakini kwingine 0
 
Mmechezeana au amekuchezea?
 
Kwa akili hizo bora kaoa mwingine sio wewe
 
Kojoa kalale. Ukiona hivyo una shida kubwa sanaaaaaaaaaaaaaa


Jichunguze.


Karibu dunia ya Wasimbe. Na mwanaume anayekuja utachapika no ndoa ukileta zakuleta tunakuzalisha unakuwa Aged Single Mother pro maxxxxx .....


Endelea kuvaa Mawigi nakufuga kucha ndefu kama jini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…