Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Unacheka nyumba ya jirani kwa kuungua wakati ya kwako umeezeka kwa nyasi?
 
Unacheka nyumba ya jirani kwa kuungua wakati ya kwako umeezeka kwa nyasi?

Alokuambia mie Mhaya nani?


Bishanga kafulia sababi ya kupenda vifanyio sasa mi matumizi yangu ni kwa Chocs tu
 
Last edited by a moderator:
kaka umefika mbali sana huko nilipigwa ngumi ya utosi umeona hapo juu
utosini nilivyobonyea utadhani nimewekewa gesi
Ooooh nikajua ni kile kipigo chetu maana nacho huwa ni kikali ndo maana kelele haziishagi lol
 

Attachments

  • IMG-20131117-WA0035.jpg
    18 KB · Views: 32

Acha hizo mkuuhakuna kufulia bepari la kihaya unamuonea my brother wangu???!! Bishanga!
 
Last edited by a moderator:
sasa kaka hapa ni mpira wa YANGA na SIMBA unachezwa au ndo style gani ya mpira huu wa kutwangana kwa kukabana hivi :busu
Ooooh nikajua ni kile kipigo chetu maana nacho huwa ni kikali ndo maana kelele haziishagi lol
 
Yaani kafulia hadi huruma, hana hata ndala za bata. Mkewe the secretary anakufa njaa hapa mjini.

We siyo mkwewe? au unakuwaga wake akiwa nazo tu?
Bishanga pole sana. njoo kusini nikupe mtaji wa korosho..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…