Tena asituzoeeeeeeeeee
Atutueeeeeeeeeeeeeeeeeee
Au nayeye kama ananitaka si aseme nimpe utamu ili asituzoee eboooo!
BTW Nakumiss mpenzi wangu halafu sijui Tanesco wanatugombanisha au la
HahahahaaaaWala hata hakutaki
Tanesco wakiamua kufanya yao si unajua tena
me penda wewe saana
Hahahahaaaaahalafu wewe nakufananisha namtu fulani humu mjengoni sijui kwanini au nimepinda macho yangu nini yakawa hivi View attachment 122651
Na hili ni gari lake?
hahahahaaaaa
dada ladyfurahia umenichekesha
Huyo kaka yangu wala hujakosea mkuu, kwani ulimuona wapi maana ni amepinda kama Judgement, anatupia balaa umepona kweli?
invisible kanipa kazi hii kwa mchana wa leo, vipi kesho tutakuwa pamoja lindo la usiku?