The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Mr.Rocky nani anataka kuja huko kubofolewa na risasiErickb52 rekebisha kauli aliwahi na sio alifanya hivyo
Wala simnangi tatizo alikuwa anajitapa sana kuwa yeye ni bepari la kihaya na hafilisiki na hatoishiwa sasa sijui kiko wapi The secretary karibu Archuga uje upate mtori na nyama choma
The secretary unasikia ofa hizi changamka, vijana wa chuga hawapendi upate taabu, natoa tketi ya presishen popote ulipo uende chuga
bora niende Tarime au meatu kuliko chuga
You can't be serious! Geneva of Africa eti hupapendi? Acha kuzuga bhana!
Embu nambi tuonane wapi ili tuzungumze maswala ya Business?
tukutane Nungwi muda sasa ndo upange
wakani ufoooo?
Mambo ya kina U4 ni huko kwenyu, huku shwarii!!
Ha ha ha Nungwi kati ya Pemba na Zanzibar?
mbona hapo karibu na upepo mwanana
Poa haina tabu, kuna ki-submarine cha babu yangu naende kukiazima nije tukutanae saa 5 usiku!
fanya saa sita mizimu ya pale inakuwa imelala
Mimi nataka tukimaliza shughuli yetu nifanye kikao na mizimu pale!
Chunga na wewe usigeuke kuwa mzimu.
Mzima weye?
You can't be serious! Geneva of Africa eti hupapendi? Acha kuzuga bhana!
mara ya mwisho Lady doctor alikuwa anamtaka