Hatimaye askari watarajiwa waitwa Moshi

Hatimaye askari watarajiwa waitwa Moshi

Mpandisha mishahara

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2014
Posts
1,742
Reaction score
1,562
Habari wana JF, leo nimeona majina ya waliochaguliwa polisi,

Nimeshindwa kuiweka link hapa ila kucheki jina lako, Ingia kwenye website ya Jeshi la Polisi Tanzania, kwa anaeweza kuweka link atuwekee na kwa faida ya wengine!

Jeshi la polisi Tanzania linawajulisha kwamba litaendesha mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi kwa miezi tisa katika shule ya Polisi Tanzan ia "Moshi" kuanzia tarehe 29/08/2015. Mafunzo hayo yatahusisha wahitimu wa vyuo vikuu, kidato cha sita kidato cha nne wote wa mwaka 2014.

Aidha wahitimu wa Jeshi la kujenga Taifa wa mwaka 2015 watahusika pia.

Maelekezo Muhimu:

1. Waliochaguliwa watatakiwa kuripoti kwa makamanda wa Polisi wa Mikoa Tarehe 28/08/2015 kwa ajili ya maandalizi ya usafiri wa kwenda shule ya Polisi Tanzania tarehe 29/08/2015 kila mmoja atatakiwa kuwa na nauli ya kumwezesha kusafiri toka makao makuu ya mkoa anakoanzia kusafiri hadi shule ya Polisi Moshi na atarejeshewa nauli atakapofika chuoni baada ya kuwasilisha Tiketi ya safari.

2. Tarehe ya mwisho ya kuripoti chuoni ni tarehe 5/09/2015 na atakayeripoti baada ya hapo hatapokelewa 3. Vijana hawa watalazimika kufika shuleni wakiwa na vitu vifuatavyo:


  • Vyeti vyao vyote vya masomo( original Academic Certificates/Result slip pamoja na Leaving certificates) kidato cha Nne, Sita na vyuo. Vyeti halisi vya kuzaliwa (Original Birth certificates). Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika.
  • Mashuka mawili rangi ya Bluu bahari (light blue)
  • Chandarua chenye upana futi tatu
  • Nguo za michezo(Track suit nyeusi,Tshirt blue na Raba)
  • Pasi ya Mkaa.
  • Ndoo moja.
  • Pesa za kulipia bima ya afya kiasi cha shilingi elfu hamsini na mia nne tu (50,400/=).
  • Pesa kidogo ya kujikimu.


4. Kwa mujibu wa kanuni za shule ya Polisi ni marufuku kufika shuleni na simu ya mkononi. Atakayepatikana na simu atafukuzwa shuleni hapo. Shule itaelekeza na kusaidia kufanya mawasiliano.

Orodha ni kama ilivyo hapa: View attachment 280956
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI
JESHI LA POLISI TANZANIA
WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014, KIDATO CHA NNE MWAKA 2014
NA JKT MWAKA 2015 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI
UTANGULIZI:
Jeshi la polisi Tanzania linawajulisha kwamba litaendesha mafunzo ya awali ya Jeshi la
Polisi kwa miezi tisa katika shule ya Polisi Tanzania "Moshi" kuanzia taerehe
29/08/2015. Mafunzo hayo yatahusisha wahitimu wa vyuo vikuu, kidato cha sita kidato
cha nne wote wa mwaka 2014. Aidha wahitimu wa Jeshi la kujenga Taifa wa mwaka
2015 watahusika pia.


Kama deadline ya kuwasili ni tarehe 5 sept basi wadau wa vyuo mlioomba kaeni mkao wakula hawa jamaa wanaweza toa majina ya usahili soon nanyi mkajumuika na wadogo zenu huko

All the best kwa walifanikiwa
Bitch...Tell your boobs not staring at Me!!!!:bange:
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI
JESHI LA POLISI TANZANIA
WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014, KIDATO CHA NNE MWAKA 2014
NA JKT MWAKA 2015 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI
UTANGULIZI:
Jeshi la polisi Tanzania linawajulisha kwamba litaendesha mafunzo ya awali ya Jeshi la
Polisi kwa miezi tisa katika shule ya Polisi Tanzania “Moshi” kuanzia taerehe
29/08/2015. Mafunzo hayo yatahusisha wahitimu wa vyuo vikuu, kidato cha sita kidato
cha nne wote wa mwaka 2014. Aidha wahitimu wa Jeshi la kujenga Taifa wa mwaka
2015 watahusika pia.


Kama deadline ya kuwasili ni tarehe 5 sept basi wadau wa vyuo mlioomba kaeni mkao wakula hawa jamaa wanaweza toa majina ya usahili soon nanyi mkajumuika na wadogo zenu huko

All the best kwa walifanikiwa
Bitch...Tell your boobs not staring at Me!!!!:bange:

Form six direct from school vip hapo
 
ni kwamba kidato cha sita ambao wamehitimu mwaka huu vip
 
Jeshi la Polisi limetoa majina ya askari wanaotakiwa kwenda Moshi tar 29/08 kwenye tovuti yao policeforce.go.tz
 
Pia kuna nafasi zilitoka kwa kidato cha sita ambao wamehitimu mwaka huu

OOOh!! sijapata dondoo hizo ok subira inahitajika hapo
They call us kings of Banter:glasses-nerdy:
 
Mbona sijaona wahitimu wa vyuo wakiitwa? Nimeona majina ya wahitimu wa kudato cha sita...jkt na kidato cha nne tu. Kuna mwenye kufahamu lolote kuhusu hilo atujuze?
 
OOOh!! sijapata dondoo hizo ok subira inahitajika hapo
They call us kings of Banter:glasses-nerdy:

Mbona wahitimu wa vyuo siwaoni hapo?
Kuna mwenye kufahamu lolote kuhusu ilo atujuze?
 
nahis wahitimu wanafanyanyiwa upembuzi yakinifu.....
 
Mwaka wa uchaguzi huu lazima suprise ziwe nyingi!
 
Back
Top Bottom