hatimaye amegeuka kipande hii.....

hatimaye amegeuka kipande hii.....

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
View attachment 118943

186644_this_is_beauty_JPG5cd324565d7facd402cd95e9943fd9b0.jpg
 
Ila honestly kuna wasichana wana sura..dah!!
 
UTUKUZWE MUUMBA WA MBINGU NA NCHI NA VITU VYOTE VILIVYOMO NDANI YAKE (kwa sura nimemkubali yuko safi sana)
 
Halafu oooonh ukiwa umeongozana na nanii hutakiwi kuangalia!!!!!!!

Kuna wanyama wanaoweza kufunzwaaa...
 
Mpwa mengine tunakula kwa macho tu...au sijui tuombe namba ya simu na kuingia twisheni ya Kinyarwanda

Mi nadhani tujipange tutimbe tu,raha ya kujifunza kuogelea haipo bafuni kwa ndoo!!!!
 
Back
Top Bottom