Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,569
Nilishawahi kusema hapa kuna wapenda madaraka wanahamia upinzani wanapokosa kwenye main plate.Asiye na masikio aweke visoda!
HABARI NDIO HII:
AKIONEKANA kuguswa na mambo yanavyokwenda ndani ya CCM kuhusu upatikanaji wa mgombea uspika wa Bunge la Muungano, Mbunge mteule wa Maswa, kupitia Chadema John Shibuda amekihadharisha chama hicho tawala.
Amewataka wana CCM kufanya uamuzi wa busara juu ya kumpitisha mgombea uspika, vinginevyo watakisambaratisha chama hicho.
Alisema hayo jana wakati akizungumza na gazeti hili muda mfupi baada ya kufika kwenye viwanja vya Bunge kujisajili, ikiwa ni mojawapo ya ratiba za wabunge wote wateule.
Shibuda alisema kuna kila sababu ya wana CCM kuwa makini katika kumpitisha mgombea uspika vinginevyo watakuwa wanatengeneza mwanya wa kukisambaratisha chama hicho.
Chanzo; MAGAZETI YA TANZANIA 10 NOV. 2010
Hapo ndipo mambo yanapoanzia mkiukumbuka UTABIRI ULEEE......
Asiye na masikio aweke visoda!

Mkuu, kwa hakika mliliona, tukaliona ambalo wengi wetu hawataki kuliona, ubaya ni kwamba sote hatuwezi kuona, kwa maana wengine kwa makusudi mazima wanajilazimisha kutoona vinavyoonekana!!:tape:Mkuu, tuliona hili mapema sana...Leo jioni tutakuwa tushajua mwelekeo kama watajinusuru au kujichimbia kaburi la akiba!
hapo ndipo ninaposhindwa kuelewa ama kuna kitu alisahau kule??? ama huku amejikinga tu kwa muda, anasubiri mayunyu yaishe arudi nyumbani kwake... atatuachaje tukishamzoea???:A S angry:Nilishawahi kusema hapa kuna wapenda madaraka wanahamia upinzani wanapokosa kwenye main plate.
Tabia anayoionesha SHIBUDA ni dalili njema ya kumsoma nyendo zake. Huwezi kukihurumia chama ambacho kimehaini malengo na maadili ya taifa.
Anakishauri kisife ili iweje???
CCM siyo ya kuishauri sasa. iachwe ijifie mbele maana si riziki kwa taifa ikiendelea kuwepo
Avanti, siombi kuota ndoto ya aina hiyo hata kidogo, haitishi ila inaogopesha kwa maana ataondoka na kundi lake ah! sijui...:A S angry:Umemsoma eee?
Ni kweli Shibuda damu yake ni ya CCM hapo kavaa ngozi ya CHDM, sitashangaa miaka ijayo akija kurudi nyumbani kwake.
Mkuu, kwa hakika mliliona, tukaliona ambalo wengi wetu hawataki kuliona, ubaya ni kwamba sote hatuwezi kuona, kwa maana wengine kwa makusudi mazima wanajilazimisha kutoona vinavyoonekana!!:tape:
hapo ndipo ninaposhindwa kuelewa ama kuna kitu alisahau kule??? ama huku amejikinga tu kwa muda, anasubiri mayunyu yaishe arudi nyumbani kwake... atatuachaje tukishamzoea???:A S angry:
:smile-big: tuko hapa, naamini, hayatapita yale wala misimu ile pasina ukweli kujulikana:smile-big::smile-big:Mawazo mfu na tatizo la kufanya analysis finyu.Shibuda anamaanisha kuwa majority shareholders ndani ya bunge ni CCM iwe isiwe lazima spika atatoka CCM.kWA MAANA NYINGINE LAZIMA CCM waangalie maslahi ya taifa.Pamoja na kwamba wengi wetu tunapinga chenge kuwa mteule wa uspika lakini akiteuliwa na CCM hakuna wa kuzuia.Habari ndo hiyo.Shibuda anawaasa CCM waangalie National interest than group interest.
Kwa taarifa yako Shibuda hana chake CCM kutana nenda Maswa kaulizie yule ni mpinzani tangu akiwa CCM.usitutie hasira wana-Maswa tupe heshima yetu weeeeeeeeeeeeeeeeeee
Usituleteee polojo tumefanya kazi ya ziada sana kumpitisha usitukumbushe machungu