Hatimae waganga 500 kutoka Tz watua Kny kwa kishindo...


Kwani hadi kina dokta manyau nyau wame apply?

Nimesikia Kenya kuna hatari kwa Madokta wetu dawa yao tuwapelekee hao hao, halafu wafanye kuwachokoza tuone.
 
Ni mzaha kupeleka madaktari kenya badala ya kuwapa ajira katika hospitals zetu zenye uhaba wa wasomi hao. Tuache kujipendekeza jamani,!!
 
Asilimia kubwa ya Wakenya wanaidharau sana Tanzania!
Ukiangalia kwa picha kubwa, utaona kwamba hawa nyang'au wanaona hakuna daktari wa Tanzania mwenye elimu ya kuweza kuwatibu wakenya, labda waganga wa kienyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…