angalia majina ya walioitwa, yana uhusiano na wafanyakazi wa Wizara ya mambo ya ndani, na baadhi wa mawaziri na wabunge...Angalia kwa makini then utaniambia....
angalia majina ya walioitwa, yana uhusiano na wafanyakazi wa Wizara ya mambo ya ndani, na baadhi wa mawaziri na wabunge...Angalia kwa makini then utaniambia....
kweli,...mm kuna washkaji zangu yaidi ya 20 wote walikua na vigezo ila hajaitwa hata 1
bado ndani ya hao 20 wana rafiki zao nao wote walikua na vigezo ila hata 1 hakuitwa...
Acha waendelee kuajiri,mahawara wao, ndugu, rafiki zao wazidi kuingiza wasomalia bongo
Vijana tusikate tamaa,
Kura yako na nduguzo ndio ukombozi kwa tanzania...
Tumechoshwa na hii aibu ya hawa jamaaa kuendelea kupeana ajira!
Stand up never vote for ccm next year, ndio suluhisho ya haya mambo.
Tusipobadilika tutaendelea kulia sana.
When WE WARE DISCUSSING ABOUT ZIMAMOTO, niliwambia subirini uhamiaji mwone mambo yatakavyokuwa taiti but watu walinidhihaki na kunishambulia ati nina conflict of interest. Hayo majina ni mwanzo wa kelele, kilio kamili chaja yatakapotoka yale ya MAGRADUATES.
Si mlijidai hampigi kura 2010, hiyo ndo adhabu yenu plus machungu ya bajeti yajayo.
Kwa herini

Wahuni sana hawa jamaa,mimi niliomba nanina cfa mpaka zinamwagikia,inakuwaje hawajaniita??? This is only in Tanzania, hatuwez kujenga nchi imara huku watu wenye sifa wakiachwa hovyo hovyo, nia yangu thabiti yakulitumikia jeshi la Tanzania iko palepale siwezi kukata tamaa hata siku moja.