Hatimae uhamiaji yametimia

KISHINDO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
2,202
Reaction score
1,957
Hatimaye uhamiaji wameshindwa kuvumilia kukaa na majina ya vijana, wayatoa majina hayo leo. Tafuta gazeti la Mwananchi la leo 26 May, 2014 ili ucheki jina lako. Kila la kheri wandugu mlioitwa.

Baada ya kimya kirefu hatimae uhamiaji wametoa majina kwa koplo na makonstebo kwa maelezo mazuri nunua gazeti la mwananchi

kwa nafasi zote? wameweka na majina ya wakaguzi wasaidizi
 
Mkuu habar,naomba msaada kama uko na gazet hapo.
 
Wakuu,kuna mtu ana gazeti hapo ?..natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…