Tayari wako kwenye makao ya milele waliyojitakia. Moto usiozimika na wala funza wao hawafi.
Mungu awalaze mahala pema peponi. wamekufa wakitetea uislsmu.
Naamini sasa wako BIZE wanajinafasi na wale Mabikira 70 wenye makalio makubwa walioahidiwa na mtume wao naona sasa hivi wanajilipa bila shida.
Naamini sasa wako BIZE wanajinafasi na wale Mabikira 70 wenye makalio makubwa walioahidiwa na mtume wao naona sasa hivi wanajilipa bila shida.
Mkuu wenzetu kule wanajua nini wanachofanya, kila mtu kwenye kazi yake, kwanza anafanya kazi anayoipenda na hata akipata majanga anajua familia yake itaendelea kuishi kama vile yupo, kwani serikali itawajari na atakumbukwa milele kwa ushujaa wake uliotukuka!! Sio hapa tuna kuwa wanafiki tu siku ya mazishi ndio utawaona wanajifanya wanauchungu na ahadi tele ukishazikwa tu, basi kama una kumbuka sakata la familia la yule askari polisi aliyeuawa akiokoa mabilioni ya pesa pale ubungo mataa nadhani ilikuwa 2007!!Mahita akaahidi watoto wake watasomeshwa hadi chuo kikuu, wako moro wanatabika ile mbaya seeikali ilipoulizwa inadai hiyo ahdi hawaikumbuki!!! Ndio maana kwenye mikasa lazima askari muogope!! Lakini wenzetu kwanza hayo majeshi yao wameyagawa katika vikosi mbalimbali kulingana na kazi husika (specialization) kama ni mambo ya kuokoa mateka wapo watu wa kazi hiyo kama ni wizi wa mabenki wapo, kama ni ugaidi wapo, kuna kama kikosi cha SWAT, shughuli yake huyo mmoja ni sawa na makomandoo kama 50 wa jwtz!!! Na kama mabasi 4ya ffu!! Kwani hapa hata kazi ni zile mwanangu hana kazi njoo huku , kwanza kitendo cha watu wanavamia ofisi huku wamevaa mask baada ya masaa kadhaa tu wamesha julikana na kuanza kutafutwa sio mchezo!!! Hapa kwetu ni mungu ndio anatulinda tu jamani, hatujawahi pata changamoto kubwa, hata hizo anazopata kenya tu si zitatusumbua sana!! Kwanza kuanzia wanajeshi wetu hawako kikazi utakuta mtu li jitambi hilo eti mwaanjeshi!!!yaani tukio la jana utadhani mtu unaangalia move ya action kumbe watu wako kazini!!! Halafu chaa ajabu hata maaskari wa kike nao wako fit!!hapa kwetu imebaki ni misifa ya kijinga tu eti kuongeza idadi ya washukiwa wa panya road nayo kova anaona ni sifa!!! Kufikia mwishoni mwa jan atakuwa amefikisha idadi ya 6000!!! Aliokamata.Yah. Niliiona BBC World News. Kwa wenzetu Intelligencia yao inafanya kazi vizuri sana. Hawababaishi kama hawa wa kwetu. Inteligensia ya polisi wetu huwa inatabiri kwenye mikutano ya CHADEMA kutatokea ghasia tu.
Yah. Niliiona BBC World News. Kwa wenzetu Intelligencia yao inafanya kazi vizuri sana. Hawababaishi kama hawa wa kwetu. Inteligensia ya polisi wetu huwa inatabiri kwenye mikutano ya CHADEMA kutatokea ghasia tu.
acha ungese,nitakung'ata.
Naamini sasa wako BIZE wanajinafasi na wale Mabikira 70 wenye makalio makubwa walioahidiwa na mtume wao naona sasa hivi wanajilipa bila shida.
Yah. Niliiona BBC World News. Kwa wenzetu Intelligencia yao inafanya kazi vizuri sana. Hawababaishi kama hawa wa kwetu. Inteligensia ya polisi wetu huwa inatabiri kwenye mikutano ya CHADEMA kutatokea ghasia tu.
ile dini ya kislamu ni ya shetani kabisa.