Baada ya maaskofu kuliamsha dude kuanzia kipindi cha Salam za krismasi na salam za mwaka Mpya, hatimae katibu mwenezi CCM ndugu Humphrey polepole amejitokeza na kuwaomba maaskofu waishauri serikali sirini kwani kwa hali ilivyo sasa ni kama wanaidhalilisha, Rais yuko tayari kupokea ushauri na kuufanyia kazi.
My take
Kila shetani ana mbuyu wake ukimya wa maaskofu na mashehe umetuumiza sana kama taifa na sina shaka wameamuka usingizini baada ya Askofu niwemugizi kuelekezewa bomba la moshi, pia salam zangu za pole ziwafikie Clouds Media
Ingawa Mungu Hakosei lkn wapo baadhi ya binadamu wanamkosoaAsie kosolewa ni mungu maana akosei wala hatokosea
Kuna chama kimezuiwa kufanya siasa?Polepole, mchungaji akienda kuombea Mkutano wa Chadema tayari ni Chadema? Kwahiyo Shekh wa Mkoa wa dar es Salaam ni CCM? Pengo ni CCM?
Haya turudi kwa aliyo yasema, nini kakobe katereza, Katiba inaruhusu Vyama kufanya Siasa, kwanini imezuiliwa? watu kupotea na Kupigwa Risasi, hilo nalo ni kawaida kwa CCM? kwahiyo sasahivi wakosoaji dawa yao ni risasi?
Polepole, Ubabe haujawahi kujenga taifa lolote, mmeambiwa kukaa kimya kwa Watanzania msitafsiri Amani, msilewe mpaka Watanzania wakajua mmelewa.
Muumini wa kawaida akizini na kuzaa nje ya ndoa hutubu mbele ya kanisa, yaani waumini wote... Kiongozi huongozwa sala ya toba ofisini kwa mchungajiYaani iwe siri sirini tu?
Mbona sielewi miye?
Kwani mahubiri huwaje?
Huwa chumbani jamani?
Sielewi kitu jamani miye
Wewe kweli ni Niccolo Machiavelli...a political philosopher whose philosophies are alive today!!!You can love your country without having to love your government!
Watumishi wa Mungu hawatakiwi kuwa wanafiki. Wanatakiwa wapaaze sauti zao zisimike. Kama za mtu aliyeko nyikani kunyoosha mapito ya Bwana. Hizi siri ndizo zilimfanya Yuda akamsaliti Yesu.Sirini ndiyo wapi huko,mambo ya sirini yanafanywa na madc na marc wanapowanunua wapinzani na wanapofanya mipango ya kuiba kura na maaskofu nao wafanye mambo sirini kama wezi?.
Mkuu swala la ukuta ni la kikatiba na mambo ya kikatiba yanapelekwa mahakamani sio kuandamana.Katiba ibara ya 30 imeweka wazi,kama magufuli afuati katiba hujaambiwa uandamane umeambiwa uende mahakamani.sasa mahakamani hamjaenda mnataka kuandamana kweli?Na ule ukuta ungekula vichwa ving sanaJe, Polepole anakumbuka kuwa serikali yake ilikataa ombi la viongozi wa dini kuzungumzia 'operation ukuta'? Njia pekee ya kusonga mbele kama taifa ni kuheshimu katiba, kuheshimiana na kuthaminiana kama raia na kuweka mbele maslahi ya taifa. Kujua tatizo ni nusu ya ufumbuzi. Methinks 'root cause' ya tatizo letu ni hofu ya kupoteza nguvu za kisiasa. Dalili zilianza wakati wa uchaguzi mkuu wa 2010. Kutokana na ushindani ghafla siasa iligeuka uadui na baada ya uchaguzi wanasiasa wetu wakawa kama nyati aliyejeruhiwa. Hali hii imeendelea kushika kasi; siasa sasa ni vita ya kufa au kupona. Utaifa wetu uko mashakani. Binafsi tangu wakati huo nimetokea kuamini kuwa watu pekee watakaoweza kulinusuru taifa hili na janga hili la uroho wa wanasiasa ni viongozi wa dini. Tunamshukuru Mungu kuwa miaka 2 tu baadaye, aliwainua viongozi hao na kulinusuru taifa na janga la katiba ya watawala badala ya ile ya wananchi. Tuwaombee viongozi wetu wa dini, Mungu azidi kuwainua na kuwatia nguvu.
Otea jibu mkuuPolepole nimzee au nikijana??!!!!
Kuna chama kimezuiwa kufanya siasa?
Thank you....Am honoured!Wewe kweli ni Niccolo Machiavelli...a political philosopher whose philosophies are alive today!!!
Huyu polepole nadhani harakaharaka linamfaa sana
Contradictions nyiiiingi
Mwambieni mtu wenu atubu acha hizi porojoporojo zake
Msilipangie Kanisa namna ya kuendesha shughuli zake jipangieni humo humo na ccm yenu dhalimu
Unakera sana wewe kijakazi
Muombewe hadharani Mkosolewe Gizani Why?