Hatimae nimeupata ubavu wangu

huyo mdada mbona namjua ni mpenzi wa mtu

Mke wa mtu yule, halafu kwa mumewe kasema kaenda kwa mjomba.
Kuwa makini mkuu, usije kulia tena, all in all, best wishes.
 
Harusi itafanyika Ghana pale. Mchuchu kwao ni kona ya Bwiru. Halafu umefanana na huyo mdada.

Huyu mdada kafanana na kabinti kamoja kanakaa mitaa ya thaqafa.....
kamesoma mwanza sec kama ni kenyewe aniambie nije kanisani kutoa pingamizi!!!!!!!!!!!
 
Ongera, Ila kwa wale wa vigezo vya vidole ndio athumani sina kofia alivyo, basi dar es sallam ya shemeji yetu inayo kazi
 
Huyu mdada kafanana na kabinti kamoja kanakaa mitaa ya thaqafa.....
kamesoma mwanza sec kama ni kenyewe aniambie nije kanisani kutoa pingamizi!!!!!!!!!!!

Pingamizi la nini sasa? Unataka sharobaro ajiue?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…