Hatimae nimejiunga rasmi

Hatimae nimejiunga rasmi

uwiiiii - sijui hii ni kweli au vipi nasikia kuna kabila moja kupiga yowe ndio kukaribisha!

Nawewe ni wahuko nini naona umeanza na lwangi ya uwiiiii
 
WanaJF, nipokeeni na mnipe raha na chungu ya jamvi hili

Karibu sana Mwanakimji, ni kimji kipi hiko watoka?

Raha humu waweza jipa mwenyewe tu ukiona wanachelewa kukupa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom