Hatimae nimefanikiwa kuvuta ka babywalker kangu!

Mbele nakaa mimi na wife wangu halafu nyuma kuna ka space kadogo ka kuweka rambo ya kitimoto!πŸ€—πŸ€—πŸ€—
Sasa hivi hatuhitaji tena kwenda Mbezi Loius kwa ticket za kwenda home. Ni kujaza tank mafuta tu.
 
nimeogopa kuingia ndani zaidi nisijepeperusha vidosho wa JF mana lazima utaopoa tu
 

Attachments

  • 1614624301210.png
    92.2 KB · Views: 1
Unavyopenda wanawake wenye matako makubwa(chura) siku umepata ataweza kuingia kwenye hiyo gari kweli?

Mkeo atakuwa hana tako(chura)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…