Hatimae nimeamua kuoa

Best wishers kwa maana huku kwenye jukwaa ni kuachana/ kuchepuka nk
Angalau wewe umekuja na neno LA faraja unataka kuoa
 
Jamani kwani hicho kishika uchumba lazima iwe hela? huwezi kuambatanisha pishi ya kunde au mchele? kwako watu8 nisaidie kwa hilo?
 
Last edited by a moderator:
Miezi sita (6) unatangaza ndoa umekurupuka Mkuu.
 
Inahusika, uaminifu ndo nguzo kuu ya mahusiano
sasa wewe simu yako hutaki ishikwe
nahisi una michepuko, kazi za nje, unaocheza nao mechi za kirafiki n.k teh

Wala sio Evelyn sioni umuhimu wakusachi kuna nini kwenye simu yangu, mbona mm sijauliza yake?
 
Last edited by a moderator:
Kama hakuna kitu kwenye simu yako kwanini hutaki iguswe sasa?

Kuna mengi kwenye simu yangu, ila sio mambo ya michepuko. Utakuta mambo ya madeni na ishu za hela. Ahadi za watu na mambo kibao.... Simu niachie tu maana wengine tunatumia zaidi ya mawasiliano
 
Kuna mengi kwenye simu yangu, ila sio mambo ya michepuko. Utakuta mambo ya madeni na ishu za hela. Ahadi za watu na mambo kibao.... Simu niachie tu maana wengine tunatumia zaidi ya mawasiliano
Mmh unanitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…