Hatimae Naona Kama 1+1 = 2 Inaleta Maana

chige bhana yaani sijui umepata wapi mda wa kuandika makala yote hiyo yaani nimesoma kichwa cha habari tu pale juu mwanzo!

Nimegundua unalazimisha kuwa kichaa! Yaani umeandika pumba yenye viwango vya RSG [Reli Standard Geuge]!!

Diamond ana roho ya mbaya kama ya Benjamin Netanyahu!

Acha kujiabisha,umesoma kichwa cha habari tu utasemaje ameandika Pumba?
 
Chige,wewe ni mtu makini lakini katika hili umekurupuka.
Umeshindwa kuzidhibiti hasira zako juu ya hili saga badala yake umemshambulia Ommy katika skendo inayomtafuna.

Mada yako 50% imelenga kumchafua Ommy na sio kuzungumzia masuala ya kikazi ambayo ndizo lawama alizozitoa Ommy.
Kama mtu makini sikutegemea kabisa uingie katika huo mkumbo.

Turudi katika hoja zako za connection na collabo.
Hivi unawezaje kusema kwamba Diamond asingeweza kumfanyia connection Ommy?
Diamond alikuwa anaenda katika tuzo za BET (kama sikosei)
Hivyo jina lake lilikuwa ktk vichwa/vinywa vya waliokuwa wengi...ile si connection kubwa tayari?
Diamond hakwenda kama ambavyo angeenda Ommy...yeye alienda kama star.
Hivyo endapo angeenda na Ommy hata ile kushake hands na akina Kanye West ingekuwa connection tayari.
Pia kuhojiwa kule na Karueche kungekuwa connection na hizo ndizo fursa zenyewe.
Katika hili Diamond anabeba lawama ya roho mbaya na wivu.
Hapendi wengine wapate japo kiduchu ya kile apatacho.

Hukuona Ali Kiba akienda na Baraka South Afrika?
Unadhani alienda nae kuuza sura?
Ile ni connection, hata kukutanishwa na Sauti Sol ni connection tayari.

Collabo hapa namuelewa Ommy,hata kama ningekuwa mimi nimemueleza rafiki mpango wangu kesho nikakuta keshaupandia dau ule mpango ingeniumiza na kunivunja moyo wa kuendelea na ule mpango.
Ni Ommy anayejua aliumia kiasi gani,hivyo kuipotezea kwake collabo na Davido huenda ana sababu zake nyingi na kulalamika huko ni sahihi.

Ni vyema tutaweka mihemuko na mahaba yetu juu ya tunaowashabikia wanapoteleza na kusema ukweli.
Kama ukweli ni vigumu kuusema basi ni busara zaidi kukaa kimya.
Period

Hivi Diamond ana kolabo ngapi na wasanii wa marekani? Saa nyingine ni bora ukakaa kimya kuliko kuonyesha ujinga wako mbele za watu.
 
Hapa naona unataka kurudi ktk mstari.
Japo...
Tunatofautiana katika namna ya kuziona na kuzitumia fursa kupata mafanikio tunayoyataka.

Kwahiyo kushindwa kwa Diamond kutumia fursa sio tiketi ya kusema Ommy nae angeshindwa kutumia fursa ya connection kupata collabo.

Na kwa jinsi Ommy alivyoelezea hili sakata jamaa ana jicho la fursa ndio maana aliziona fursa za collabo kati yake na Davido& Iyanya.
Hapo kabla alishafanya na J Martins....
Hivyo kwa kuliona hili Chibu alijua kabisa huyu mtu nikimpa tu nafasi kanipita,ndio maana akamfanyia roho mbaya mwenzie.

C'mon Chige... Kwani zile tuzo ziliandaliwa na label inayowasimamia Kiba na Baraka?
Ili useme ilikuwa lazima aende?
Kiba angeweza kumpotezea Baraka vilevile kama angekuwa na roho mbaya pia.

Silazimishi my dear,mimi ni mkweli na daima husema ukweli na sio kuendekeza mahaba.

Mbona nilikiri kuwa collabo kati ya Kiba na Ommy sijaikubali kivile?
Hivi ningekuwa naongozwa na mahaba ningetubutu kuiponda kazi ambayo Kiba wangu kashiriki?

Ukweli tuuseme,kwahili Chibu ana makosa.
Hoja ya kumtafutia collabo Marekani huitaki tena manake hujagusia kabisa!!!!

Turudi hilo la jicho la fursa! Unataka kuniambia Diamond alimwambia Davido na Iyanya wasifanye collabo na Ommy Dimpoz? Nini kilisababisha asifanye nao? Suala la collabo ya Diamond na Iyanya/Davido lilimzuia vipi Dimpoz na yeye kufanya nao collabo? Nimetoa majina ya wasanii kadhaa hapa waliofanya collabo na same artist... nini kilimfanya Dimpoz asifanye? ALISUSA? Au unayozungumzia alijua akimpa nafasi ni hilo suala la Marekani? Kama ndivyo; hivi unataka kuniambia baada ya kuona utamu wa collabo na Davido, hakuwatamani hao wanamuziki wa Marekani? Kwanini hakufanya nao?

Kuhusu Baraka na Kiba; ile haikuwa safari ya kishikaji au haikuwa ya kukurupuka kwenda SA kutafuta collabo! Ile ni safari ya kiofisi kabisa... msome hapa Seven:
Seven.png
 
Na kwa jinsi Ommy alivyoelezea hili sakata jamaa ana jicho la fursa ndio maana aliziona fursa za collabo kati yake na Davido& Iyanya.
Hapo kabla alishafanya na J Martins....
Hivyo kwa kuliona hili Chibu alijua kabisa huyu mtu nikimpa tu nafasi kanipita,ndio maana akamfanyia roho mbaya

Nisaidia ufafanuzi katika haya;

1. Kwa nilivyoelewa ni kwamba Dimpoz aliona akae mbali na Simba kwasababu jamaa ana roho mbaya hataki mafanikio yake; sasa kwanini it has been two years since wako mbali mbali, kwanini dimpoz hajatumia hilo "jicho la fursa" alilonalo kutafuta hizo collabo mpaka leo???

2. Kama Simba ndio alikuwa anafanya figisu Dimpoz asifanikiwe, kwanini kipindi dimpoz yule karibu na Simba alikuwa anashine na baada ya kukaa mbali naye amekuwa doro.?? Maana nilidhani ilitakiwa iwe vice versa.. Kama alikuwa anabaniwa kipindi kile na bado alikuwa juu kimuziki, sasa hivi kama habaniwi tena na Simba si ndio alitakiwa awe hakamatiki kimuziki???

3. Mkitaka kujua unafiki wa huyu dimpoz anavyodai leo kuwa amesaidiwa zaidi na kiba kipindi yuko underground! Hebu nendeni YouTube tafuteni video ya siku ya kwanza alipopanda kwenye jukwaa la KTMA kupokea tuzo ambapo alipanda jukwaani na simba na wote wawili wakaongea! Hebu nendeni mkaandilie ile video alafu mje mniambie kuwa Dimpoz sio mnafiki na snitch..

Nijibu haya kwa sasa!
 
chige bhana yaani sijui umepata wapi mda wa kuandika makala yote hiyo yaani nimesoma kichwa cha habari tu pale juu mwanzo!

Nimegundua unalazimisha kuwa kichaa! Yaani umeandika pumba yenye viwango vya RSG [Reli Standard Geuge]!!

Diamond ana roho ya mbaya kama ya Benjamin Netanyahu!
Sasa kati ya mimi na wewe kichaa nani? Umefahamu vipi kwamba ni pumba wakati umeishia kusoma kichwa cha habari tu? Inawezekana walikuachai kimakosa Milembe; bado una matatizo ya akili... kwaheri!!
 
Kaka nilikuwa namuongelea uyo jamaa anajiita mchambuzi lbd hukunielewa
Samahani zangu zikufikie hapo ulipo basi... ndo hivyo tena jukwaa likichemka; mambo ya kutoelewana lazima yatoke! I hope you don't mind...
 
Acha ushamba wewe.
Inategemea na makubaliano ya mtu.

Johmakini feat. Chidnma ni bure, Johmakini feat. AKA ni bure.
AY na Romeo ni bure, Yemi Alade na saut Sol bure.
Usikariri.

Wasanii wanatumia hii nafasi kutafuta fun base kwenye nchi zingine.

Naomba tu nikupe pole jana Ommy amewa-outsmart mmeonekana vituko mbele ya jamii.
Kama hujui kitu ebu uliza kwanza acha kupotosha
Collabo ya joh makini ft chidima
Joh makini alimlipa chidima tena joh makini mwenyewe alisema ilibidi amlipie chidima na timu yake hadi gharama za usafiri business class kutoka nigeria hadi south africa kushoot video.
Joh makini ft AkA
Hii collabo hadi kesho anamshukuru diamond kwa kumfanyia wepesi na kuruhusu kufanyika kwa collabo ukumbuke AKA alikuja bongo aliletwa na diamond kwenye zari white party diamond alimgharamia AKA kila kitu, AKA baada ya kisikia nyimbo za joh makini kwenye xxl ndipo adam mchomvu akamuomba AKA,
Diamond akasema haina tatizo yeye atafanya nae baada ya party kuisha
 
stupid allegation unatumia nguvu nyingi na maneno mengi kudiscuss kijisehemu cha dakika moja kwenye interview,ndio tatizo watu wa d hamshauri vizuri mnamtumia kwamanufaa yenu wenyewe sio kwafaida yake
 
HIZI NDO COLLABO BORA ZA KIMATAIFA ALIZOFANYA AY TENA BURE

1. ay ft romeo buree
2. ay ft p.square buree
3. ay ft ms trinity buree
4. ay ft sean kingstone bure
5. ay ft saut soul buree
6. ay ft goldie buree
 
Kama hujui kitu ebu uliza kwanza acha kupotosha
Collabo ya joh makini ft chidima
Joh makini alimlipa chidima tena joh makini mwenyewe alisema ilibidi amlipie chidima na timu yake hadi gharama za usafiri business class kutoka nigeria hadi south africa kushoot video.
Joh makini ft AkA
Hii collabo hadi kesho anamshukuru diamond kwa kumfanyia wepesi na kuruhusu kufanyika kwa collabo ukumbuke AKA alikuja bongo aliletwa na diamond kwenye zari white party diamond alimgharamia AKA kila kitu, AKA baada ya kisikia nyimbo za joh makini kwenye xxl ndipo adam mchomvu akamuomba AKA,
Diamond akasema haina tatizo yeye atafanya nae baada ya party kuisha
POINT YAKO NINI HASWA?
 
HUYU SALLAM NI MUONGO SANA CONNECTION YA DIAMOND NA DAVIDO NI AY NDIYE ALIYEFANYA,MKUMBUKE PIA COLLABO YA OMMY DIMPOZ NA J.MARTIN PIA AY ALIHUSIKA,HUYU MENEJA ATAKUWA KILAZO KWELI HANA UWEZO WA KUMTENGENEZA MTU COLLABO AACHE UPUUZI
 
stupid allegation unatumia nguvu nyingi na maneno mengi kudiscuss kijisehemu cha dakika moja kwenye interview crazy bald head kabisa,ndio tatizo watu wa d hamshauri vizuri mnamtumia kwamanufaa yenu wenyewe sio kwafaida yake
Nonsense! Eti kijisehemu cha dakika moja....! Yaani mtu akikuwekea time range ya sekunde 10 ndo unadhani habari husika ipo within 10 seconds pekee?! By the way, kama shida yako ni kuandikwa sekunde kwa sekunde; umekatazwa kuandika?!
 
Back
Top Bottom