Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,357
- 100,373
<br />Salaam Alyeikum mabibi na mabwana<br />
<br />
Hatimae mwezi umeandama na kesho itakua siku kuu ya Idd el Fitr kumbuka kutoa sadaka na kutenda yaliyo mema. Mungu awajaalie muwe na afya njema na atukinge na majanga yote, ajali za moto, barabarani na kwenye bahari na disko zisiwepo ili tukutane tena Ijumaa tuendelee na ujenzi wa taifa hili. Rafiki yako katika Kristo. Elli
Allah bado anategemea mwezi!!!!!!!!
Mwezi umeandama ndiyo. Lakini ole wenu ambao badala ya kufungua kula mchana "mnafungulia" kila kitu, wengine mnafungulia zip. wengine mnafungulie ulevi nk. Thawabu zote mlizovuna mwezi wote mtukufu zitakuwa zimepote zote. OLE WENU MFUNGULIE ..........Salaam Alyeikum mabibi na mabwana
Hatimae mwezi umeandama na kesho itakua siku kuu ya Idd el Fitr kumbuka kutoa sadaka na kutenda yaliyo mema. Mungu awajaalie muwe na afya njema na atukinge na majanga yote, ajali za moto, barabarani na kwenye bahari na disko zisiwepo ili tukutane tena Ijumaa tuendelee na ujenzi wa taifa hili. Rafiki yako katika Kristo. Elli
Mwezi umeandama ndiyo. Lakini ole wenu ambao badala ya kufungua kula mchana "mnafungulia" kila kitu, wengine mnafungulia zip. wengine mnafungulie ulevi nk. Thawabu zote mlizovuna mwezi wote mtukufu zitakuwa zimepote zote. OLE WENU MFUNGULIE ..........
Allah bado anategemea mwezi!!!!!!!!
hiviii siku mwezi ukigoma kutokea mtafanya nini???kwa nini msiwe na tarehe maalum kama dini zzingine?