dr please....
Usimuamshe aliyelala... anajiona kidume kukesha baa huku wenzie wanakamua.....
Hahaahahaha
halafu anatembea kifua mbele yeye mwanaume....
Loh.... Wakati Wanaume washamaliza hamu ya mkewe hahahahahahahahahahahah uwiiiiiiiiiiii
naomba namba ya mkeo nimpongeze kwa kukuzuga
Baaada ya kukata mawasiliano ya tendo la ndoa na mke wangu kumuadhibu kwa kukorofishana na mama yangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wa kumliwaza kwa hasira niliamua kuamua kula baa,kuchelewa kurudi na kuhama chumba HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia kuwa hatorudia tena kuniambia maneno kama yale na ile hamu alokua nayo imeisha. MNAONA? HAWA WANAWAKE UKIWACHEKA NAO WANAKUPANDIA KICHWANI,
WanaJF na nyie kwa udaku! mmh mmezidi, mmemkandia eti wenzake wanamtungua, wamemaliza, eti hamu imemuishaje na mengine kibao utadhani kuna hata mmoja aliyemuona akiliwa! Mkiombwa mtoe ushahidi kuwa mkewe kaliwa kila mmoja atakimbilia uvunguni! No research no right to speak!dr please....
Usimuamshe aliyelala... anajiona kidume kukesha baa huku wenzie wanakamua.....
Hahaahahaha
halafu anatembea kifua mbele yeye mwanaume....
Loh.... Wakati Wanaume washamaliza hamu ya mkewe hahahahahahahahahahahah uwiiiiiiiiiiii
WanaJF na nyie kwa udaku! mmh mmezidi, mmemkandia eti wenzake wanamtungua, wamemaliza, eti hamu imemuishaje na mengine kibao utadhani kuna hata mmoja aliyemuona akiliwa! Mkiombwa mtoe ushahidi kuwa mkewe kaliwa kila mmoja atakimbilia uvunguni! No research no right to speak!
Na wajinga ndio waliwao.Mmmh! Kweli hapo ni kekundu
Baaada ya kukata mawasiliano ya tendo la ndoa na mke wangu kumuadhibu kwa kukorofishana na mama yangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wa kumliwaza kwa hasira niliamua kuamua kula baa,kuchelewa kurudi na kuhama chumba HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia kuwa hatorudia tena kuniambia maneno kama yale na ile hamu alokua nayo imeisha. MNAONA? HAWA WANAWAKE UKIWACHEKA NAO WANAKUPANDIA KICHWANI,
kabisa.....
Hawajui wajibu wao wanaongoza ndoa kwa ubabe.... Hawajui mke ni ua , penzi haliendeshwi kwa ubabe bali mahaba....tazama sasa wajanja washalamba asali yake... Hahahahaaaa
unajisifu wakati wenzio wanakong'ori hadi matumbo.
Maboya yataisha lini mjini?
Baaada ya kukata mawasiliano ya tendo la ndoa na mke wangu kumuadhibu kwa kukorofishana na mama yangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wa kumliwaza kwa hasira niliamua kuamua kula baa,kuchelewa kurudi na kuhama chumba HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia kuwa hatorudia tena kuniambia maneno kama yale na ile hamu alokua nayo imeisha. MNAONA? HAWA WANAWAKE UKIWACHEKA NAO WANAKUPANDIA KICHWANI,
Unachekelea unafikiri mazuri hayo........!!