Hatimae leo nimeokota dodo kwenye mahindi

Good evening,

Ilikuwa jioni ya baada ya kutoka mihangaikoni bhna baada ya kuwa na meeting ndogo na tajiri kutoka JF ndipo nikakwea mwendo kasi.

Nimekaa kwenye mwendokasi akaja mdada mzuri akawa amekaa pembeni yangu kama kawaida yangu huwa sina shobo.

Sasa ghafla mwendo kasi ukapiga brek ya gafla yule dada si aka angukia kifuani mkono mmoja akawa amenisha sehemu mbaya ghafla mnara ukalia kengele tukawa tuna angaliana kwa macho kama wahindi vile embu vuta picha ya kihindi kwa tukio kama hili.

Basi nikamtoa haraka sana kama kawaida nikauchuna kufika pale Kimara akatoa simu yake akaenda sehemu ya kuandika namba akanipa sijaona ubaya kumpa nikampa zangu namba nikauchuna.

Sasa nimefika home ananiuliza kama anaweza kuja kwangu anisalimie au mimi niende sija mjibu nimemuweka pending kidogo si unajua gono limepamba moto now.

Na home siwezi mleta sababu ya watoto naomba ushauri.
Tunaomba picha kwanza ili tukushauri
 
Shida ni hauja soma uzi wa rikiboy ... Kapitie umeandika
"ULISHAWAHI KULA TUNDA KIMASIHARA"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww umesoma pa tajiri tu huwa sipend vitu vya bure jirani
Huyo dada mzuri mbona umempata bure na unataka kujiweka cheap that way??
Mtego huo, Atleast wewe ungeanza kumchokoza.
I smell Something fishy hapo!!!
 
Good evening,

Ilikuwa jioni ya baada ya kutoka mihangaikoni bhna baada ya kuwa na meeting ndogo na tajiri kutoka JF ndipo nikakwea mwendo kasi.

Nimekaa kwenye mwendokasi akaja mdada mzuri akawa amekaa pembeni yangu kama kawaida yangu huwa sina shobo.

Sasa ghafla mwendo kasi ukapiga brek ya gafla yule dada si aka angukia kifuani mkono mmoja akawa amenisha sehemu mbaya ghafla mnara ukalia kengele tukawa tuna angaliana kwa macho kama wahindi vile embu vuta picha ya kihindi kwa tukio kama hili.

Basi nikamtoa haraka sana kama kawaida nikauchuna kufika pale Kimara akatoa simu yake akaenda sehemu ya kuandika namba akanipa sijaona ubaya kumpa nikampa zangu namba nikauchuna.

Sasa nimefika home ananiuliza kama anaweza kuja kwangu anisalimie au mimi niende sija mjibu nimemuweka pending kidogo si unajua gono limepamba moto now.

Na home siwezi mleta sababu ya watoto naomba ushauri.
da yaani uwe unafikiri basi,huu uongo kuwa eti breki ghafla dada kakuangukia kifuani na kuushika mtalimbo,nao ukasimama ghafla,kha!!!! uongo wa hivi???
 
Back
Top Bottom