Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,611
- Thread starter
- #41
Hio ni uwongoo
Hadi ww mkuu una ungana na watu wa kigoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]
Hio ni uwongoo
Una mpango wa kula kavu??
Kesho utuletee mrejesho kule kwa wazee wa kula tunda kimasihara.
Mapema sanaa.Usisahau kunikumbusha ase
ChaiGood evening
Ilikuwa jioni ya baada ya kutoka mihangaikoni bhna baada ya kuwa na meeting ndogo na tajiri kutoka JF ndipo nikakwea mwendo kasi
Nimekaa kwenye mwendokasi akaja mdada mzuri akawa amekaa pembeni yangu kama kawaida yangu huwa sina shobo
Sasa ghafla mwendo kasi ukapiga brek ya gafla yule dada si aka angukia kifuani mkono mmoja akawa amenisha sehemu mbaya ghafla mnara ukalia kengele tukawa tuna angaliana kwa macho kama wahindi vile embu vuta picha ya kihindi kwa tukio kama hili
Basi nikamtoa haraka sana kama kawaida nikauchuna kufika pale Kimara akatoa simu yake akaenda sehemu ya kuandika namba akanipa sijaona ubaya kumpa nikampa zangu namba nikauchuna
Sasa nimefika home ananiuliza kama anaweza kuja kwangu anisalimie au mimi niende sija mjibu nimemuweka pending kidogo si unajua gono limepamba moto now
Na home siwezi mleta sababu ya watoto naomba ushauri
Chai
Weka picha upewe muongozo...
Sometime wanaume tunafeli kinoma denti akijirahisa unaona unaletewa ugonjwa akikaza tena napo utaanzisha nyuzi humu wanawake wamekuja na msimamo mwaka mpya 2023,,,,,Anayejirahisisha ukamuona anakuletea GONO Ndo hana kabisa ila yule unayemfatilia ukijua ni salama ndo utakutana nacho uko..Anyway endelea kumpiga pending
Nenda ndiwoNisha mjibu naenda zangu mimi sina mbambamba
Nenda ndiwo
Ndo ukasingiziwe na mimba
Sijui hata kilichonitia nyege hapa ni nini.... anyway ahsante
Nipo hapa nakunywa kvant na energy karibuNipo
Hapa
Nakunywa kahawa nikitoka hapa
Naweza kuja uko
Nipo hapa nakunywa kvant na energy karibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jumatatu shule..umepata lakini mahitaji ya shule uliyoagizwa?
Hata bajaji au boda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tajiri ameshindwa kuku chukulia tax?