Hatimae leo nimeokota dodo kwenye mahindi

Good evening

Ilikuwa jioni ya baada ya kutoka mihangaikoni bhna baada ya kuwa na meeting ndogo na tajiri kutoka JF ndipo nikakwea mwendo kasi

Nimekaa kwenye mwendokasi akaja mdada mzuri akawa amekaa pembeni yangu kama kawaida yangu huwa sina shobo

Sasa ghafla mwendo kasi ukapiga brek ya gafla yule dada si aka angukia kifuani mkono mmoja akawa amenisha sehemu mbaya ghafla mnara ukalia kengele tukawa tuna angaliana kwa macho kama wahindi vile embu vuta picha ya kihindi kwa tukio kama hili

Basi nikamtoa haraka sana kama kawaida nikauchuna kufika pale Kimara akatoa simu yake akaenda sehemu ya kuandika namba akanipa sijaona ubaya kumpa nikampa zangu namba nikauchuna

Sasa nimefika home ananiuliza kama anaweza kuja kwangu anisalimie au mimi niende sija mjibu nimemuweka pending kidogo si unajua gono limepamba moto now

Na home siwezi mleta sababu ya watoto naomba ushauri
Mamoderator hivi hamuwezi kutupigia block hata ya miezi 3 kwa watu wanao tuletea chai kama hawa.
 
Jay ukiona mimi nimepigwa bani ujue na ww unafwata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sina maneno mengi, acha kwanza tuipooze.
Screenshot_20221201-145954.jpg
 
Good evening

Ilikuwa jioni ya baada ya kutoka mihangaikoni bhna baada ya kuwa na meeting ndogo na tajiri kutoka JF ndipo nikakwea mwendo kasi

Nimekaa kwenye mwendokasi akaja mdada mzuri akawa amekaa pembeni yangu kama kawaida yangu huwa sina shobo

Sasa ghafla mwendo kasi ukapiga brek ya gafla yule dada si aka angukia kifuani mkono mmoja akawa amenisha sehemu mbaya ghafla mnara ukalia kengele tukawa tuna angaliana kwa macho kama wahindi vile embu vuta picha ya kihindi kwa tukio kama hili

Basi nikamtoa haraka sana kama kawaida nikauchuna kufika pale Kimara akatoa simu yake akaenda sehemu ya kuandika namba akanipa sijaona ubaya kumpa nikampa zangu namba nikauchuna

Sasa nimefika home ananiuliza kama anaweza kuja kwangu anisalimie au mimi niende sija mjibu nimemuweka pending kidogo si unajua gono limepamba moto now

Na home siwezi mleta sababu ya watoto naomba ushauri
Una mpango wa kula kavu??
 
Kesho utuletee mrejesho kule kwa wazee wa kula tunda kimasihara.
 
Back
Top Bottom