Sijawai kuona comment hii ya maana hongera bro [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji112][emoji112][emoji112]Viwonder vya Mo vinakaribia kufungwa, yawezekana mshika dau wake ni mwajiriwa wa Mo na pengine kashapewa barua ya kufungwa kwa viwonder.
Kakaa kachekechaaaaa akaamua kuitafuta namba yako kwenye diary yake siju kwa marafiki zako waliokuwa wanamtongoza anajua mwenyewe alikoipata.
Tabia yake unaijua wewe, ladha yake unaijua wewe, umempenda kwa kiasi gani unajua wewe, hivyo mwenye maamuzi ni wewe.
Sijawai kuona comment ya maana hongera [emoji112][emoji122][emoji122][emoji112][emoji112][emoji112]Viwonder vya Mo vinakaribia kufungwa, yawezekana mshika dau wake ni mwajiriwa wa Mo na pengine kashapewa barua ya kufungwa kwa viwonder.
Kakaa kachekechaaaaa akaamua kuitafuta namba yako kwenye diary yake siju kwa marafiki zako waliokuwa wanamtongoza anajua mwenyewe alikoipata.
Tabia yake unaijua wewe, ladha yake unaijua wewe, umempenda kwa kiasi gani unajua wewe, hivyo mwenye maamuzi ni wewe.
[emoji38][emoji38]Kishaachwa huko ndo anajileta leta, basi kwakua zombi hashibi damu nawe hapo moyo unaenda mbio kwa furaha.....
Ilitakiwa umwambie akuondolee ubwege!!!!
Sema neno Mother ConfessorHahahhaahaa.....mapenzi mengine buanaaa[emoji28]
Unapoamua kufanya maamuzi yanayohusu maisha yako basi wanao kushauri usiwape asilimia 100 kwamba ufanye wanayotaka wao, kumbuka tu kwamba ulizaliwa peke yako na ufakufa kivyako so kama huyo x wako unaona unampenda basi chukua maamuzi sahii
Vijana tuna mambo sanaaaa aisee.Sema neno Mother Confessor
Vijana tuna mambo sanaaaa aisee.
"Lililo pita limepita"Wewe kama mutu mujima unalipi la kusema
....yanataka akili kubwa kuyamudu vinginevyo vituko havitaisha ng'o!Hahahhaahaa.....mapenzi mengine buanaaa😅
Yagangwe yajayo, na hapo hapo izingatiwe yakuwa yajayo yanafurahisha."Lililo pita limepita"
kurudia kitobo cha kale nacho ni kipajiHahahhaahaa.....mapenzi mengine buanaaa[emoji28]