tobaaaaaaaaaa itakua kizunhuzungu kitupu..... Jasusi atakuja aseme mchumba kabeba mimba....
episode 2yap,hujanifananisha kwani tatizo nini?
Hizo swagz sasa lazima tukimbie humu.
anajivuruga mwenyewe!ona washampiga ban
Hahahahahahahahahahahahaha
Natalia lazima aseme amehongwa hotel
ubaya wa watu wa namna hii hawajifichi kuwajua uhalisia wao kwa sababu wana sahau mapema na kujikuta wanajichanganya.
Koma hiyo tabia kabisa nakuonya,Utakuja kukutana na watu wabaya wakupeleke kwenye ulimwengu wa Majini na Kuzimu ndo upotee kabisa kwa kuleta mambo ya kizungu kwenye Dark Continent yetu...
itabidi tuombe modes, wapeleke threads zao 'jokes',heheh
ye si natuona wote watoto wenzie humu!
jamaa kazidi dharau na kugha chafu...mi nilimwambia aache dharau akaniona namtania...ona sasa!!nilijua tu hii thread ingeishia hivi!
atajulikana tu hata aje na ID ya namna gani maana asili yake ndio hiyo ya lugha chafu chafu...
Kwaiyo habari ya mkataba imeisha kabisa, umeamua awe wako wa maisha?
Mungu awasimamie ndoa yenu ya mkataba idumu zaidi ya mkataba huo
Sipati picha kifungo chake kinaisha sawa na Natalia
sikilizia collabo lao
Me nilimdiss long time,bora akakue huko jandoni alipo. Lol so sad maandishi ya hii 'senema' hayajapanda juu..poor thing!
mimi sijifichi wewe?nina host info za hatari sana,sasa wewe *u*k* wa jf utanishinda nini?
eeh, kwani mi nashindana na wewe?? wewe mkali bwana...!!upo juu!!! hahahahahah!!!!!
ok,pamoja