Hatimae Google Adsense wamenilipa USD 137.6 leo

hapo lazima uwe na bog mbili..moja unapostia wew na nyingine iwe na post za kiingereza kama 40 iv na hyo blog iwe na miez 2 na kuendelea pia weka privay policy ya blog vilevile weka default tamplate za blogger after hapo unaaply itachukua masaa 12 kujibiwa na google kama kuna tatizo a kwa maelezo zaidi 0755801248
 
Habari wakuu mimi pia ni publisher zaidi ya miezi 7..kuna tatizo nmepata yani adsense zangu zinapotea baada ya dak 5 nikishare facebook tatizo ni niini???
shida ni tamplate kaka unatakiwa upate tamplate ambayo ni ads ready
 
So ukiwa busy utatengeneza hela nzuri lazima upost,share,like na comment huku ukialika wengine ndiyo njia yakukufanya uingize zaidi
 
Umetumia muda gani kufikisha hizo hela?

Ukisema umelipwa $ 100 au $300 haina maana sana kama hujaeleza muda uliochukua kufikisha kiasi hicho.

Pesa hizo kwa wiki au mwezi zinaweza kuwa deal kwa wengi, wakati kama ni kwa mwaka zinaweza kuwa hazifikii hata gharama ya kukuweka online.
 
Nimeamini kweli sisi Wa afrika hatupendani tena hasa sisi Tanz Maania, ivi ukimwelewesha mtu kitu kama haki unadhani kwa yeye atafaidika sana au?
Basi jamani tulieni niwaambie kuhusu Google Adsense.

Mimi ni web developer kutokea Tanzania na nipo katika hii sector takribani miaka mitano sasa na ninafanya katika katika Envato Market soko lililopo Australia kama mtengeneza wa php script na kama muuzaji katika soko hilo, link ya profile yangu hii hapa ST2014 | CodeCanyon

Miaka ya nyuma nilikuwa nikitumia Google Adsense ni ilinipatia faida sana, mala ya kwanza nilipata USD 145 = Tsh 250,000.

Kwanza Google Adsense nini?
Google Adsense ni tawi la kampuni ya google ambalo linajihusisha na masuala ya matangazo online ambapo matangazo hayo huweza kuonekana katika mtindo wa banner (460px x 80px n.k), na maandishi (Text).
Katika Google adsense kuna vitu viwili kuna Google Adsense Publisher na Google Adsense Adword (Google Adword).

Unacho takiwa wewe ni kujisajili kama Publisher yaani mtangazaji wa matangazo.
Kujisajili nenda http://adsense.google.com kisha fuata hatua za usajili.

Ukifika hatua ya pili watangambia uweke jina la Domain name weka jina domain name yoyote ambayo unajua ina lugha ya English kisha SUBMIT form yako, utaambiwa usubiri ndani ya masaa machache subiria, kisha utaona ujumbe katika email yako kwamba "Your account for adsense was approve" na kutankuwa na kiunganishi ambacho kitakupeleka katika kukubali mashaliti yao na kisha kupewa akaunti yako ya adsense publisher.

Ukisha patiwa akaunti utaona kuna mstari mwekundu utatokea katika Dashbord yako ya adsense na watahitaji upaste code katika website yako ulioombea sasa wewe unatakiwa kuondoa kwanza ile domain ulio ombea na kuweka domain yako ambayo inalugha ya kiswahili kama website yako ina lugha ya kiingeleza basi katika form yako utatakiwa ujaze domain name yako.

Hii njia ni njia ambayo itakuwezesha kuwa na akaunti ya adsense kwa wale wenye blog zinazotumia lugha ya kiswahili.

Je! adsense wanalipaje?
Adsense wanalipa kila mwisho wa mwezi yaani tarehe 16 au 22.. inategemea na akaunti yako uli weka pini yao siku gani na kama akaunti imefikisha dola 100.

Pini ni nini?
Pini ni namba ambazo unatumiwa katika P.O. BOX yako uliyo jaza katika form yako wakati wa kujisajili, ambapo akaunti ikifika dola 10 ndiyo wanakutumia PIN hiyo katika P.O. BOX yako.

Na njia nzuri ya kupokea pesa kwa adsense ni BANK, na bank nzuri isiyo na makato ni NBC, mimi nilitumiwa USD145 na nikapokea kama ilivyo katika akaunti yangu ya NBC.

Haya maelezo ni kwa ufupi tu lakini kwa ulefu zaidi uanweza wasiliana nami kwa namba hii 0657 315 394.
Kwa anae hitaji Domain name ninaweza nikamsaidia kwa TSH 50,000 pamoja na kumuunganishia katika blogger yake pamoja na adsense.

Mtu kama wewe ata kukutafuta kufanya biashara ni halali kabisa, kwanza unajielewa na sio mchoyo hivyo una hakika ya kuongezewa.

Pili umeonyesha unakielewa ata unachokifanya sio wajinga wengine anafichaficha mambo hapa alafu anaweka namba ntakupigiaje wakati ujanionyesha hapa kama unajua unachofanya! waswahili ndio maana atuendelei mtu anadhani akinificha hapa basi sitokaa nijue.
 
Kuna jinsi ua kufanya ili Adsense iweze support kwa language zote.
Call me for more help 0657315394

Kiongozi mimi nna blog ya kiswahili, ina miezi mitatu na viewrs zaidi ya elfu 30...kwa siku napata wastani watu elfu moja ...Je mpaka hapo naweza kupata adsense? na ili kujiunga ni lazima ni redisign muonekano? na inatakiwa viewers wangapi kwa mwezi uingiziwe pesa kwenye account?

Kama vitu hivi vinawezekana niambie nikutafute.
 
ni rahisi sana, na mimi wamenilipa jana $145.60 kwa anayetaka kupata adsense ni lazima uwe na blog.
nitafute 0674162085
ni c.e.o na Blogger wa www.kitaanibongonews.com na blog zote za KBN MEDIA GROUP....
Na mm ndo mwezi wangu wa kwanza kulipwa, Njoo nitakuelekeza na ikibidi nitakutengenezea adsense account kwa bei rahisi sana.
 
nipe namba ya whatsapp
 
Sasa hivi adsense wamebadilisha Privacy Police zao sasa unaweza Ombea Adsense katika domail yako tu na si ya mwingine.
Cha kufanya ili uweze kupata domain yako ya kuombea Adsense Fuata hatua hizi zifuatazo.

Hatua ya
1. Nenda Freenom.com kisha chagua domain yako ya free ambazo ni .tk, .ga, .ml, .gb
2. Fungua blog nyingine kisha iunganishe na blogger, katika blog hiyo uliyo fungua weka post za kiingeleza tupu pamoja na template nzuri pia template hiyo uweke tags/lable za kiingereza.
3. Nenda katika blog yako SETTINGS>EARNING kisha fuata hatua za usajiri na utapata akaunti yako ya Adsense bila usumbufu.

OFFER: Jinsi ya kuunganisha domain yako na blog yako tembelea link hiii itakusaidia
 
ahh kwa wale wanaotaka adsense aacc na template za kusaidia uweze kupost kiswahili au kuanzisha blog na website ili uweze kutengeneza pesa hadi dola 300 nicheki 0713774746
 
Baada ya kuanza kutangaza matangazo ya Google,Leo nimelipwa pesa hiyo hapo juu japo kuwa kwa akaunti yangu sijaiona,inachukua muda gani kureflect kwa account yangu.

HATIMAE PESA IMEINGIA ILA NIMEKATWA TSHS 55000 NA BANK YA CRDB
Hayo malipo ni ya kazi uliyofanya kwa muda gani?
 
Nimeamini kweli sisi Wa afrika hatupendani tena hasa sisi Tanz Maania, ivi ukimwelewesha mtu kitu kama haki unadhani kwa yeye atafaidika sana au?
Basi jamani tulieni niwaambie kuhusu Google Adsense.

Mimi ni web developer kutokea Tanzania na nipo katika hii sector takribani miaka mitano sasa na ninafanya katika katika Envato Market soko lililopo Australia kama mtengeneza wa php script na kama muuzaji katika soko hilo, link ya profile yangu hii hapa ST2014 | CodeCanyon

Miaka ya nyuma nilikuwa nikitumia Google Adsense ni ilinipatia faida sana, mala ya kwanza nilipata USD 145 = Tsh 250,000.

Kwanza Google Adsense nini?
Google Adsense ni tawi la kampuni ya google ambalo linajihusisha na masuala ya matangazo online ambapo matangazo hayo huweza kuonekana katika mtindo wa banner (460px x 80px n.k), na maandishi (Text).
Katika Google adsense kuna vitu viwili kuna Google Adsense Publisher na Google Adsense Adword (Google Adword).

Unacho takiwa wewe ni kujisajili kama Publisher yaani mtangazaji wa matangazo.
Kujisajili nenda Make Money Online Through Website Monetization | Google AdSense – Google kisha fuata hatua za usajili.

Ukifika hatua ya pili watangambia uweke jina la Domain name weka jina domain name yoyote ambayo unajua ina lugha ya English kisha SUBMIT form yako, utaambiwa usubiri ndani ya masaa machache subiria, kisha utaona ujumbe katika email yako kwamba "Your account for adsense was approve" na kutankuwa na kiunganishi ambacho kitakupeleka katika kukubali mashaliti yao na kisha kupewa akaunti yako ya adsense publisher.

Ukisha patiwa akaunti utaona kuna mstari mwekundu utatokea katika Dashbord yako ya adsense na watahitaji upaste code katika website yako ulioombea sasa wewe unatakiwa kuondoa kwanza ile domain ulio ombea na kuweka domain yako ambayo inalugha ya kiswahili kama website yako ina lugha ya kiingeleza basi katika form yako utatakiwa ujaze domain name yako.

Hii njia ni njia ambayo itakuwezesha kuwa na akaunti ya adsense kwa wale wenye blog zinazotumia lugha ya kiswahili.

Je! adsense wanalipaje?
Adsense wanalipa kila mwisho wa mwezi yaani tarehe 16 au 22.. inategemea na akaunti yako uli weka pini yao siku gani na kama akaunti imefikisha dola 100.

Pini ni nini?
Pini ni namba ambazo unatumiwa katika P.O. BOX yako uliyo jaza katika form yako wakati wa kujisajili, ambapo akaunti ikifika dola 10 ndiyo wanakutumia PIN hiyo katika P.O. BOX yako.

Na njia nzuri ya kupokea pesa kwa adsense ni BANK, na bank nzuri isiyo na makato ni NBC, mimi nilitumiwa USD145 na nikapokea kama ilivyo katika akaunti yangu ya NBC.

Haya maelezo ni kwa ufupi tu lakini kwa ulefu zaidi uanweza wasiliana nami kwa namba hii 0657 315 394.
Kwa anae hitaji Domain name ninaweza nikamsaidia kwa TSH 50,000 pamoja na kumuunganishia katika blogger yake pamoja na adsense.
Mkuu bado unatoa hiyo huduma paragraph ya mwisho?
 
Je wakuu nawezaje kufungua blogger yangu ...
pia nawezaje kupata viewrs,subscribe wengi...... kwenye youtube channel yang
 
hapo lazima uwe na bog mbili..moja unapostia wew na nyingine iwe na post za kiingereza kama 40 iv na hyo blog iwe na miez 2 na kuendelea pia weka privay policy ya blog vilevile weka default tamplate za blogger after hapo unaaply itachukua masaa 12 kujibiwa na google kama kuna tatizo a kwa maelezo zaidi 0755801248
Nina blog yangu na nimefanikiwa kufikisha $10 na wamenitumia pin code kwenye address lakini sijaipata bado, pin code ilitumwa tarehe 7/12/2020
Kwenye address nilijaza postalcode ya 41110 ambayo inatumika kwa Dodoma sikujaza P.O.Box, Je naweza kupata pin code au nibadili address?
 
Back
Top Bottom