Hatimae Google Adsense wamenilipa USD 137.6 leo

Unatakiwa uwe na blog ni rahisi sana kuvuna wakuu watu wanapiga hadi dola 300 kirahisi tu kwa adsense tutafutane kwa maelezo zaidi 0755801248.
 
Baada ya kuanza kutangaza matangazo ya Google,Leo nimelipwa pesa hiyo hapo juu japokuwa kwa akaunti yangu sijaiona,inachukua mda gani kureflect kwa account yangu?

Unaweza lipwa kwa blog ya kawaida ambayo haina full domain?
 
je unaweza kulipwa kama hujaweka matangazo ?
tupe mbinu uliyotumia nasi tutumie mkuu mbona kimya
Baada ya kuanza kutangaza matangazo ya Google,Leo nimelipwa pesa hiyo hapo juu japokuwa kwa akaunti yangu sijaiona,inachukua mda gani kureflect kwa account yangu?
 
acha kuangaika jamani. Soma hapa chini ili kukidhi vigezo.

This offer is limited to web publishers who are not yet using Google AdSense. Support is available in English only. Support will vary according to site and business type. The information you submit will be treated in accordance with the Google Privacy Policy
 
sio kweli hiyi ni kwa primary blog unaoombea ila blog ya kufanyia kazi unapost chochote na munga unakula kama kawaida
 
Back
Top Bottom