Hatimae Gazeti la Uhuru nalo laachia... "Peoples Power"

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
248
attachment.php
 

Attachments

  • Uhuru la leo.jpg
    Uhuru la leo.jpg
    51.7 KB · Views: 614
... hivi ni gazeti lilelile la Uhuru kweli au mtu kafanya tu mchezo wa kutengenezesha picha hiyo hapo juu??????????
 
Basi kumbe walikua wanataka tuwapatie hiyo mibilioni na wenyewe wakalipe, kaaaazi kweli kweli
 
Ukisikia kampuni ya matapeli ndiyo hivyo. Aliyeuza gold kauza gold feki, aliyenunua gold katoa fedha feki. Haya mabenki yameliwa. Lakini watanzania wamegundua deli sasa si rahisi kuliwa.
 
Inanikumbusha Enzi za Mwalimu! Magazeti yalikuwa matatu tu

Wewe Mhariri wa Uhuru angalia yasikukute yaliyo mkuta Tido! Unajidai kwenda na wakati sisi sisiem hatutakuvumilia

Big up Uhuru!
 
Back
Top Bottom