Hatimae CONTINENTAL ndani ya Nyumba

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
496
Reaction score
379
Leo nimeJiunga na familia ya King'amuzi cha Continental Tsh. 95,000/ tu, baada ya kuunganisha kwa kweli kimenifurahisha sana, picha zinaonekana vizuri, hakina chenga chenga, nimerekodi kipindi nitakiangalia baadae usiku, kwa kweli imenibidi nitoe na nitunze Star-times nilichokinunua Tshs. 45,000/ nimechoka na NO SIGNAL.
 
Eeenh, tuambie mkuu kina channel ngapi na za aina gani?
 
Hebu tuambie mkuu wewe uko pande za wapi tafadhali utujulishe nasie tuchukue .
 
je kuna channel za mpira hasa SSPORT AU MAGUMASHI KAMA YA STAR TIMES.?
 

Wafanya biashara mna mbinu kali sana kwakweli, hapa mtu anaweza akadhani ni mteja anaye sema haya.
 
Muda c mrefu mikoa mingine tuutaanza kuwapata kupitia satelite
 
je kuna channel za mpira hasa SSPORT AU MAGUMASHI KAMA YA STAR TIMES.?

Kina channel 24 nipo Mwanza, nimenunua katika ofisi za Sahara Media karibu na Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara.
 
mbona wadau wote walionunua king'amuzi cha continental, ukiwauliza kina chaneli zipi hawataki kuweka wazi?!digiteck wao walitangaza kabisa na chanel walizo nazo,ili mteja ujue kabisa,ila hawa sahara media wamekuwa wagumu sana hata kwenye mtandao wao,utakuta tu king'amuzi bora chenye chaneli 24 za bila malipo ya mwezi!wanaficha nini?WADAU WA JF TUAMBIE PACKAGE YAKE.
 
zipo 24, za ndani zote yaan ITV, STAR tv, EATV, Channel ten yaan ni nyingi za nje ni nyingi siwezi orodhesha zote hapa, MALIPO KWA MWEZI HAKUNA
 
Ngoja tujipange 95k usawa huu majanga! Japo napenda hzo HD dekoda nataka StarTimes nikitupe makumbusho.
 
Mie wa morogoro biashara hii nahusika?
 
suburin cha azam unaweza kuta watauza buku.
Hata na mimi nasubiri cha Azam, yaani ni full Azam; Unga wa ngano na mahindi, maji ya uhai, azam cola, juice ya azam, king'amuzi cha azam, channel ya kuangalia ni tv azam ikionyesha kipindi cha Simba tv.
 
sasa mbona kila mkiulizwa kuna chaneli gani za maana hamsemi???mnabaki kutaja itv,statv,eatv,hizo kote zipo tuambie CONTINENTAL wana chaneli gani???sina sababu ya kurekodi sijui nataka chaneli nzuri zitaje
STARTIMES wana E-STARS,REAL STARS,AMC[NIGERIA],CCTV,BET,ETC[SOUTH AFRICA],E!entertainment,FASHION TV,MTVBase,GOSPEL MUSIC,KIDSCO,NICKLEODEON,BABYTV,SETANTA AFRICA,EUROSPORT,MSC SPORT[FRANCE],DISCOVERY SCIENCE,NATIONAL GEOGRAPHIC,FOX,FX,MGM,TRUEMOVIES,BBC NEWS,ALJAZEERA NEWS,
Naomba mnitajie CONTINENTAL wana chaneli gani kabla sijatupa hii startimes decoder[kwangu haina chenga].....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…