prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,081
- 3,109
Aandike kitabu.....
Kweli kabisaWengine hupata mshtuko baada ya kuona watu waliokua nao kuuliwa au kufanyiwa unyama, wanaishia kuishi na makovu na uoga.
Mfano, alichofanyiwa Rais Doe, kukatwa mikono mbele ya vyombo vya habari na kisha kuuliwa. Nina amini aliokua nao kama walifanikiwa kutoroka basi hawakurudi tena nchini mwao.
Huyu Wandele wa TA walimketisha hana loloteKama miaka yote hiyo 51 ya woga wa kurudi kwao Uganda iweje leo anatafuta vyombo vya habari kutangaza kuwa karudi kwao?
Tanzania naipenda sana. Hii nchi wenyewe tunaichukulia poa. Ila ni moto wa kuotea mbali. Babu karudi meno hana😂😂😂😂😂😂Maisha ya Bwana Abodo akiwa Tanzania mbona hayajawekwa wazi. Si ajabu alioa Mtanzania.
Sio meno tu, hata kusimamisha pia unaweza kukuta kushiney babu jiii. Katumika ipasavyo bongo.Tanzania naipenda sana. Hii nchi wenyewe tunaichukulia poa. Ila ni moto wa kuotea mbali. Babu karudi meno hana
Au alikuwa anafanya kazi kwa wasiojulikana na baadaya kustaafu ndo ameamua kujulikanaHuna habari kuwa baada ya nduli kutoka madarakani mwaka 79 walifuata nduli wengine?
😂😂😂😂😂 Aabodonianooo!!!Tanzania naipenda sana. Hii nchi wenyewe tunaichukulia poa. Ila ni moto wa kuotea mbali. Babu karudi meno hana😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Sio meno tu, hata kusimamisha pia unaweza kukuta kushiney babu jiii. Katumika ipasavyo bongo.
Kweli kabisa ...huu ukimbizi wa Abodo unatia mashaks😂 ..huyu hakuwa na Nia ya dhati ya kurudi kwao!Maisha ya Bwana Abodo akiwa Tanzania mbona hayajawekwa wazi. Si ajabu alioa Mtanzania.
A cargo with no value..... 😂 😂 😂 😂 😂 😂Sio meno tu, hata kusimamisha pia unaweza kukuta kushiney babu jiii. Katumika ipasavyo bongo.
Amesahau.....Huna habari kuwa baada ya nduli kutoka madarakani mwaka 79 walifuata nduli wengine?
Hata America kuna raia wake wametoroka na kuomba hifadhi nchi nyingine. Hilo ni jambo la kawaida kwa dunia ya Leo.Tanzania ni mabingwa wa kutoa usalama na hifadhi kwa wakimbizi wa mataifa ya wenzetu, ila kwa raia wetu hatuna fadhila hizo.
Ref: Tundu Lissu na Godbless Lema katika kipindi cha utawala wa Rais Magufuli.
Ukianza na nduli unamaliza na nduliHuna habari kuwa baada ya nduli kutoka madarakani mwaka 79 walifuata nduli wengine?
Labda alinaswa na mtoto wa kitanga au kirangi sauti ya kumbembeleza nyororoMzee ana mambo ya ajabu sana,unawezaje kuwasusa wake zako wawili na watoto miaka yote hio wakati huo umejificha nchi jirani kabisa?
Au udikteta ulishamwingia?
Baada ya kuandika kitabu watoe movie ya kumuenzi.Aandike kitabu.....
Haa ha ha halkn nduli alitoka madarakani 79 kwanini asingerudi nyumbani mwaka 80, yeye aseme tu alipata mtoto wa kitanga
Ametusaidia kulijenga TaifaSio meno tu, hata kusimamisha pia unaweza kukuta kushiney babu jiii. Katumika ipasavyo bongo.
Kuna sehemu hata moja umeona katangaza kwenye vyombo vya habari mkuu? Mbona kama unataka kumsingizia, yeye karudishwa kwao na UNHCR, yaani taasisi ya umoja wa mataifa inayo deal na wakimbizi. WHo knows, kwa umri huo huenda hata yeye hakupenda kuondoka Tanzania, si unajua tena Bongo ni nchi ya maziwa na asaliKama miaka yote hiyo 51 ya woga wa kurudi kwao Uganda iweje leo anatafuta vyombo vya habari kutangaza kuwa karudi kwao?