Hatimae Bodyguard Wa Milton Obote Arejea Uganda Kwa Familia Yake, Baada Ya Kujificha Tanzania Kwa Miaka 51

Tanzania ni mabingwa wa kutoa usalama na hifadhi kwa wakimbizi wa mataifa ya wenzetu, ila kwa raia wetu hatuna fadhila hizo.

Ref: Tundu Lissu na Godbless Lema katika kipindi cha utawala wa Rais Magufuli.
Hata America kuna raia wake wametoroka na kuomba hifadhi nchi nyingine. Hilo ni jambo la kawaida kwa dunia ya Leo.
 
Kama miaka yote hiyo 51 ya woga wa kurudi kwao Uganda iweje leo anatafuta vyombo vya habari kutangaza kuwa karudi kwao?
Kuna sehemu hata moja umeona katangaza kwenye vyombo vya habari mkuu? Mbona kama unataka kumsingizia, yeye karudishwa kwao na UNHCR, yaani taasisi ya umoja wa mataifa inayo deal na wakimbizi. WHo knows, kwa umri huo huenda hata yeye hakupenda kuondoka Tanzania, si unajua tena Bongo ni nchi ya maziwa na asali
 
Back
Top Bottom