Hatimae Baada ya kuwaweka ndani Mbowe na Matiko, na Lisu kuwa hospital, Ucumi umepanda na pesa yetu imepaa

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Dec 31, 2017
1,324
2,435
Naona wapinzani walikuwa wanahujumu sana uchumi wetu.

Baada ya kuwaweka ndani na wengine kuwa hospital ,uchumi umepaa vibaya , pesa imepaa, Viwanda vimeongezeka, Ajira za kumwaga, Wawekezaji wanagombania kuja nchini kwetu....Mishahara imepanda, pato la taifa limekuwa.

Kwa hali hii hatuitaji wapinzani tena. Sifa na utukufu zimwendee ndugu Jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20190228_155251.jpeg
FB_IMG_1551162997583.jpg
Screenshot_2019-02-25-19-08-12-1.png
WhatsApp Image 2019-02-26 at 22.50.55.jpeg
 
Naona wapinzani walikuwa wanahujumu sana uchumi wetu.

Baada ya kuwaweka ndani na wengine kuwa hospital ,uchumi umepaa vibaya , pesa imepaa, Viwanda vimeongezeka, Ajira za kumwaga, Wawekezaji wanagombania kuja nchini kwetu....Mishahara imepanda, pato la taifa limekuwa.

Kwa hali hii hatuitaji wapinzani tena. Sifa na utukufu zimwendee ndugu Jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana hata US $ 1 sasa hivi ni buku la madafu !
 
Naona wapinzani walikuwa wanahujumu sana uchumi wetu.

Baada ya kuwaweka ndani na wengine kuwa hospital ,uchumi umepaa vibaya , pesa imepaa, Viwanda vimeongezeka, Ajira za kumwaga, Wawekezaji wanagombania kuja nchini kwetu....Mishahara imepanda, pato la taifa limekuwa.

Kwa hali hii hatuitaji wapinzani tena. Sifa na utukufu zimwendee ndugu Jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
:D:D:D
 
Back
Top Bottom