Hatimae amepata MKE !!!!!

ha haaaa haaaaaaaaa.............editorial za picha ya huyu bwana zahitaji tuzo
 
hivi yule mkewe wa kiafrika picha yao ililetwa hapa zamani yuko wapi ? au ni mambo ya kupiga picha tu kumdhalilisha jamaa yetu ?
 
Duuuh jamaaa utafikiri kaungua katika ajali ya tenki la mafuta kule kenya halafu kafufuka, kweli black is beauty/handsome.
 
Hapo juu kuna picha mbili zilizoshikanishwa kuwa pamoja, lakini ujmbe wenyewe ni kujua kama upendo kwa wawili wa aina hiyo inawezekana, jibu unalo utakapo fumbua macho. white is never black, nor black will never be white, though love is blind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…